Waziri bora na bomu kwa mwaka 2011 katika serikali ya JK

Toa maoni yako. To me Anna Tibaijuka is the best, Kawambwa poor
Ungejua ya huko ndani ya hiyo wizara anayoiongoza huenda usingemtaja kama kiongozi bora. Ila kwa wanaochemsha zaidi nadhani Kombani anaongoza akifuatiwa na Mkulo
 
Toa maoni yako. To me Anna Tibaijuka is the best, Kawambwa poor
Anna Tibaijuka is one among the worst moja ya wizara inasababisha mpaka watu wanauana kila siku ni ardhi , watu wanadhurumiwa maeneo ya yeye anakula kiyoyozzi tu ofisin na kusoma magazeti, hata alipokuwa UNHabitat aliwahi kudemoted watanzania wakapiga kelele kuwa ni hujuma za wazungu na wakenya kumbe uwezo wake ulikuwa umeshuka kiutendaji kama anavyoonekana kwenye wizara akiwa kama waziri dhaifu
 
hivi bi kiroboto anahusika au tusubiri zamu ya maspika maana nayeye ni bomu lingine.
 
Ghasia,ni ghasia kweli!
Pombe magufuli,kama majina yake yalivyo.
Pinda,kapinda kweli.
Shukuru,tunashuru tu.hatujui kawaje waziri..., Ngeleja ni kama gereza.?
...,etc

duh! Huu mtiririko nimeupenda laiti umeme ungekuwepo ningekupa like ila natumia kasimu kangu
 
Anna Tibaijuka is one among the worst moja ya wizara inasababisha mpaka watu wanauana kila siku ni ardhi , watu wanadhurumiwa maeneo ya yeye anakula kiyoyozzi tu ofisin na kusoma magazeti, hata alipokuwa UNHabitat aliwahi kudemoted watanzania wakapiga kelele kuwa ni hujuma za wazungu na wakenya kumbe uwezo wake ulikuwa umeshuka kiutendaji kama anavyoonekana kwenye wizara akiwa kama waziri dhaifu

mkuu, hii sukuwahi kuisikia.................. kumbe ndo hivyo eeeh??....................................
 
Back
Top Bottom