Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri,
Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine wameweza kujadiliana kuhusu mambo mengi ya mahusiano ya muda mrefu kati ya Tanzania na Morocco.