Acha Kupotosha,
Mhe. ngeleja alielezwa na Waziri Mkuu aandae Ripoti kuhusu Meremeta,hivyo si lazima aitoe Bungeni ila itatolewa,Leo ni siku ya Bajeti na iliandaliwa hata kabla ya Waziri Mkuu kutamka yale maneno.
Naomba Mod utoe hiiSidhani kama alitakiwa atoe kwenye hotuba yake ya Bajeti... nadhani muda bado upo. hii mada ingekuja baada ya kikao cha bajeti na Ngeleja hajatoa hiyo taarifa then tungekuwa na tatizo.
Kaangalie ansard kama alisme maneno niliyoyapigia mstari.Mwanakijiji is he knowsGembe hapa napingana na wewe kuwa huyu jamaa anapotosha kwani ninakumbuka kuwa Waziri mkuu alipokuwa anajibu hoja za Dr .Slaa alisema kuwa kuhusu Tanpower resources na Kiwira ,waziri husika wa nishati na madini atatoa msimamo wa serikali wakati wa bajeti yake ....
Hapa kuna kitu kimefichika , mwenye hotuba ya Pinda wakati akijibu hoja anaweza kutuwekea hapa na kuweza kuona alichosema Waziri Mkuu.
Mpaka Kielewe, hicho pekee (hotuba ya Pinda) ndicho kitakachoamua kama Ngeleja amekiuka agizo la Waziri Mkuu au la. Upande mwingine Waziri hawajibiki kwa Waziri Mkuu!
Ila ni kuwa waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali sasa kama waziri hawajibiki kwa waziri mkuu wanawajibika kwa nani wakiwa humo Bungeni?
.Ila ni kuwa waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali sasa kama waziri hawajibiki kwa waziri mkuu wanawajibika kwa nani wakiwa humo Bungeni?
.
Mkuu ni kweli waziri mkuu ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za serikali bungeni.Hatahivyo,usimamizi huo haumpi mamlaka ya kutoa amri na maagizo kwa mawaziri wenye wizara zilizoko nje ya ofisi yake.Ana mamlaka ya kumuamuru waziri wa TAMISEMI na waziri wa masuala ya bunge maana hawa ndio wanaomsaidia kazi.Kiutaratibu wa kimfumo yeye PM ndiye waziri wa TAMISEMI na masuala ya Bunge.Na ndio maana hotuba yake ya bajeti inagusa maeneo yote hayo.Mh kombani na Mh.Malmo wanamsaidia tu.Sasa hawa ndio anaweza kuwaagiza jambo na lazima litekelezwe haraka.
Hali ni tofauti kwa wizara zinazojitegemea kama ya Mh.Ngereja.Mh Ngereja yeye anawajibika kwa Rais.Ni Rais tu ndiye anayeweza kumuamuru kufanya jambo na akalitekeleza haraka sana.Na tukumbuke Rais pia ni sehemu ya bunge kwa mujibu wa katiba ya nchi.Na ndio maana hotuba na miswada yote ya wizara hizo hujadiliwa kwanza na baraza la mawaziri,ambako mh.Rais ndiye mwenyekiti. PM na waziri ni wajumbe wa kawaida katika kikao hicho.
Kwa hiyo kama PM alisema Mh.Ngereja atalizungumzia hilo ,basi ilikuwa ni maoni ama mapendekezo na wala sio maagizo.PM kuwa msimamizi wa shughuli za serikali bungeni kuna maanisha kwamba anahakikisha kuwa majukumu ambayo serikali imepanga kuyatekeleza bungeni basi yanatekelezwa kikamilifu.Kama ni maswali ya wabunge ni jukumu lake kuhakikisha yanajibiwa yote na kwa ufasaha.Na ndio maana mara nyingine utamuona PM akitoa majibu ya ziada kuhusu jambo lolote kwa wizara yoyote ile.PM pia atawajibika kuhakikisha mahudhurio ya mawaziri na manaibu wao bungeni.Ni lazima mawiziri wote wamuombe ruhusa PM kama kuna dharura ya kusafiri au kutohudhuria kikao.Lakini zaidi ya hapo mawaziri wote(isipokuwa wa nchi ofisi ya PM) huwajibika kwa Rais.
Sasa nikirudi kwenye mada kuu ni kwamba, kama wadau wengine walivyosema muda bado upo.Kwa hiyo hakuna haraka tusubiri.Kwanza ni kwamba Mh.Ngereja ametoa hotuba ya bajeti.Sasa inawezekana kabisa wakati wa kufunga mjadala wa hotuba yake akagusia suala hilo.Kwa hiyo hapa napo pana muda wa kusubiri.Lakini hata kama asipogusia wakati wa kujibu hoja za wabunge,yawezekana akapata nafasi ya kufanya hivyo kabla ya mkutano wa bunge kuisha.Muhimu ni subira tu.Ni lazima mwisho wa siku watanzania tutapewa majibu na serikali juu ya suala hili.
Things Fall Apart and Our Leadership And The Destiny of Tanzania is reckoning When Rain Clouds Gather, Beware Soul Brother for although The Beautiful Ones Are Not Yet Born their Long March To Freedom is here, it is becoming No Longer at Ease, Weep Not Child for we have crossed The River Between and are approaching the Season of Migration to the North where we will crucify the Devil On The Cross more deadlier than the Trial of Dedan Kimathi and expose his Ambiguous Adventures disguised as Anthems of the Decades.
The Concubine is intrigued by A Question of Power and instigating The Enemy Within his opposition while forming The New Tribe to help him be Collector of Treasures while relegating his kin to Gathering Seaweed with No Grain of Wheat
In the Fog of the Seasons' End the Navigation of a Rainmaker disguised as president is proving to be No Easy Walk To Freedom
The Reluctant Playwright is asking The Interpreter to clear this So Long A Letter