Ccm ni nyonya damu za watanzania
na hawa wanatoka nje ya Dar?Chavula, Kidando
na hawa wanatoka nje ya Dar?
Watu hawalipi hizi kodi kwasababu hawaoni faida yeyote kutokana na mlundiko wa kodi zinazotozwa na hii serikali; wamebakia kutumia kodi wanazokusanya kununua maV8 basi!!!!! Inaelekea Samia hajui kinachoendelea nyuma ya mgongo wake kwani taarifa wanazompa hao wasaidizi wake sio sahihi!!!
Ongezea hapo na fisadi YEHODAYAList kamili na wanakotoka hii hapa:
View attachment 2026496
Tambua viherehere vya mtu tatu hawa in that order: Chavula, Kidando, Hilla bila kumsahau aliyeshika mpini mwenyewe.
Wote ni mwendo wa per diem zilizo boreshwa kweri kweri.
Wao ndiyo wahujumu uchumi