Waziri anapozindua choo cha matundu nane!

Waziri anapozindua choo cha matundu nane!

Kama choo tundu nne 9m, basi viongozi wa ccm wananuka kila pahala.
 
Heshima kwenu wana JF

Hili ni jambo linaloweza kuwa la kuchekesha lakini ndipo CCM ilipotufikisha
Ndugu wadau siku chache zilizopita kulikuwa na shamra shamra,hoi hoi na nderemo hapa jimboni Mwanga kwa Profesa maghembe. Kulikuwa na tukio la ajabu kidogo kufanywa na kiongozi wa Kitaifa hasa level ya Uwaziri

Naam! ni kuzindua choo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanga ambapo Mheshimiwa Wazir Profesa Maghembe ndie alikuwa mgeni Rasmi! Gharama za ujenzi wa choo hicho zimegharamikiwa kwa kiasi kikubwa na wananchi na wafadhili wa Ahsante Tours ya Moshi. Mfuko wa jimbo ulichangia Tsh 600,000/= kwenye ujenzi huo ambao umegharimu jumla ya fedha za kitanzani tsh 9,000,000/=

Kioja ni kuwa choo hicho ni cha kawaida sana na wala hapakuhitajika sherehe ya gharama kubwa kukizindua huku shule hiyo ikiwa haina vitabu vya kutosha , walimu kununua chaki kwa pesa zao wenyewe.

All in All Cheo cha Uwaziri ni Cheo kikubwa sana kufanya shughuli hiyo ya Uzinduzi wa Choo. Hii ni kudhalilisha kabisa serikali kwani fedha/ Muda huo uliotumika kwa watumishi na watendaji wa Halmashauri plus mafuta ya magari vingetosha kabisa kufanya kitu kingine cha maana kama kuwanunulia watoto hao vitabu na mahitaji mengine ya kuendesha shule.

Hiyo ndio serikali ya CCM ya miaka hii sasa sijui tukiwaongezea 2015 itakuwaje! maana kwa upuuzi huu mdogo tu sijui

Source: mimi mwenyewe na kamera niliopigia picha imechukuliwa na wasaidizi wa Waziri!

Duh nyumba ya mavi inazinduliwa khaaaa kweli ni jembe na nyundo
 
Jama gharama za shamra shamra ni kubwa kuliko mradi.huu ni mradi wa kuzinduliwa na Kiranja mkuu tu
 
Heshima kwenu wana JFHili ni jambo linaloweza kuwa la kuchekesha lakini ndipo CCM ilipotufikishaNdugu wadau siku chache zilizopita kulikuwa na shamra shamra,hoi hoi na nderemo hapa jimboni Mwanga kwa Profesa maghembe. Kulikuwa na tukio la ajabu kidogo kufanywa na kiongozi wa Kitaifa hasa level ya UwaziriNaam! ni kuzindua choo cha wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwanga ambapo Mheshimiwa Wazir Profesa Maghembe ndie alikuwa mgeni Rasmi! Gharama za ujenzi wa choo hicho zimegharamikiwa kwa kiasi kikubwa na wananchi na wafadhili wa Ahsante Tours ya Moshi. Mfuko wa jimbo ulichangia Tsh 600,000/= kwenye ujenzi huo ambao umegharimu jumla ya fedha za kitanzani tsh 9,000,000/=Kioja ni kuwa choo hicho ni cha kawaida sana na wala hapakuhitajika sherehe ya gharama kubwa kukizindua huku shule hiyo ikiwa haina vitabu vya kutosha , walimu kununua chaki kwa pesa zao wenyewe.All in All Cheo cha Uwaziri ni Cheo kikubwa sana kufanya shughuli hiyo ya Uzinduzi wa Choo. Hii ni kudhalilisha kabisa serikali kwani fedha/ Muda huo uliotumika kwa watumishi na watendaji wa Halmashauri plus mafuta ya magari vingetosha kabisa kufanya kitu kingine cha maana kama kuwanunulia watoto hao vitabu na mahitaji mengine ya kuendesha shule.Hiyo ndio serikali ya CCM ya miaka hii sasa sijui tukiwaongezea 2015 itakuwaje! maana kwa upuuzi huu mdogo tu sijui Source: mimi mwenyewe na kamera niliopigia picha imechukuliwa na wasaidizi wa Waziri!

Sasa kwa ufunguzi alipiga ile kubwa au ndogo? Manake si lazima upige japo stata hivi.
 
Choo matundu 8 gharama yake millioni 9,kila tundu la choo wastani ni 1.1million shilings,gharama ya uzinduzi hazijatajwa nakadiria mafuta ya gari la waziri na wasindikazaji wake na posho za wahudhuriaji hapo ongeza 4millioni.
hivo basi choo cha matundu 8 kimeligharimu taifa letu 13 million.
Watanzania tunaelekea wapi?je wasomi wetu wanalisaidiaje taifa letu,je mtanzania msomi na phd yako ukidharauliwa na raia wa nchi nyingine unalo la kujitetea?
my conclusion watanzania sio maskini ni wapumbavu wa wafujaji tusio na vision.including mimi ninayeandika
 
Choo matundu 8 gharama yake millioni 9,kila tundu la choo wastani ni 1.1million shilings,gharama ya uzinduzi hazijatajwa nakadiria mafuta ya gari la waziri na wasindikazaji wake na posho za wahudhuriaji hapo ongeza 4millioni.
hivo basi choo cha matundu 8 kimeligharimu taifa letu 13 million.
Watanzania tunaelekea wapi?je wasomi wetu wanalisaidiaje taifa letu,je mtanzania msomi na phd yako ukidharauliwa na raia wa nchi nyingine unalo la kujitetea?
my conclusion watanzania sio maskini ni wapumbavu wa wafujaji tusio na vision.including mimi ninayeandika[/QUOTE
ume understand estimate sana hizo gharama hasa kwy time which you did not factor in. gharama kamili sitoshangaa zikifika milioni 10 kuzindua vyoo vya shs.9 kama kweli vina hiyo thamani ya milioni 9 kweli .

NANGERA ECHUNGUKWE.
Mungu akubariki na kukulinda kwani hujijui kuwa leo umetimiliza utabiri uliotolewa na wadau humu humu JF kuwa siku moja itatokea kumuona waziri anafungua choo na wengi walisema hilo halitawezekana hili lilitokea baada ya waziri mkuu fulani kufungua magenge ya kuuza nyanya na vitunguu sasa leo utabiri wa wana jf umeutimiza kama vile malaika aliyeshuka kutoka mbinguni kwani sdhani kama ulikuwa aware na mjadala huo.
 
Hahahahah,prof itakuwa alishusha bonge la kimba kuwaonyesha watoto the way we do it.

Haahaahaaahaaahaaa🙂 Mkuu pata LIKE (kisimu changu cha Mchina hakiruhusu haya mamb0)
 
kwikwikwikwikwikwi prof,waziri kuzindua choo hatari sasa Maofisa watendaji watafanya nini uwiiiiii.
 
Back
Top Bottom