zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
kwa hiyo hapo halimi????
Inaonesha hata habari iliyoandamana na picha hujaisoma na unakurupuka tu, hapo halimi, soma hapa:
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo.