Waziri anapolima na suti

Waziri anapolima na suti

kinyongo

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
39
Reaction score
9
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM).

source maasinda

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
alienda kulima au kutembea?

Sijamsikia mda mrefu kumbe yupo nyumbani ndio maana
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya Nsimbo, wilayani Mlele, Katavi. Bi. Kipande ni mfanyakazi katika shamba hilo. (Picha na Irene Bwire wa OWM).

source maasinda

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Uliwahi kuona wapi mkulima anaingia shambani na suti?,analima?????????????
 
na hao waliovalia kijani ilikuwa ni ziara ya kichama au ya kiserikali?
watanzania wengine wanashangaza wao kulala kuamka akili yao imejaa uchama na sio maendeleo
 
securedownload.jpeg
securedownload-2.jpeg
securedownload-1.jpeg
 
hapo analima nini sasa........nadhani alikuwa anamalizia kale kakipande kake ka muvi ya mtoto wa mkulima tu
 
They want to tell the public that they are man of people while not.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

najiuliza, hawa wakulima wa mahindi wako shule ya kilimo na inabidi waziri mkuu awaelekeze namna ya kupalilia? Mara nyingi mtu akichaguliwa kuwa kiongozi, ghafla anakuwa mtaalam wa karibu kila kitu! Natumaini kuwa hao wakulima pichani hawahitaji maelezo yoyote kuhusu kupalilia mahindi,
 
ukiwa shambani hakikisha umevaa Suti au hata kama Sio suti angalau kidogo mavazi yako yaendane na Heshima yako, pia hakikisha Huchafuki hata kidogo kuanzia mavazi mpaka kwenye viatu, Mfano mzuri nitizameni mimi,, hilo ni somo ambalo nadhani alikuwa akilitoa Mshkaji kwa wakulima wenzie
 
Kichwa na utumbo wa habari ni vitu tofauti:
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima
 
hivi pinda ni waziri mkuu wa tanzania au wa rukwa na katavi tu? mwezi mmoja hauwezi pita bila yeye kutembelea mikoa hiyo. binafsi sijawahi kusikia ametembelea lindi au mtwara
 
Back
Top Bottom