Waziri ananitaka kimapenzi

Eti nataka nkimbie nchi, bull shit ndo suluhsho?Hawa wanawke du,uckute mpz wng ww!Mmmh,nkigundue.......
Hahaha! Nauli ya kurudi kijijini kwao yenyewe hana, ijekuwa ya kukimbia nchi lol, hana lolote huyu mashauzi tu na kukosa kazi!
 
****** mtupu,yan unaomba ushauri had ktk matumizi ya K,ipeleke ika*ombwe bas si unataka ushauri.
 
Hahaha! Una maakili kama nyau wa kidhungu! Nilikuwa nataka kumuambia aombe ushauri kwa nazjaz manake ana uzoefu na mawaziri. Siku akitakwa na mume wa mtu akuone wewe, akitakwa na konda mvuta bhange I will be there for her!
Una bahati kama Nazjaz manake hata yeye kuna waziri aliwahi kumtaka kimapenzi! Tehe!
 
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro
Mnhhh.... gone are the days where quality was paramount, now everything goes in JF
 
Una bahati wewe eeh mpaka nakuonea wivu. Hilo gari lako ni aina gani vile?! Jamani waziri wa nini niambie basi, mbona umependelewa bibie. Kesho akikununulia nyumba usikose kutu - update mbarikiwa tracy. Kwa uelewa wako faraja hii inatosha kwa leo.
Bila Yesu maisha yatakuwa mafupi saana starehe za muda hizo na mwisho wake ni majuto!!!! Tafadhari tumia akili wacha tamaa mtafute Yesu kwanza mengine ya baraka yatakuwa matunda bila kutenda dhambi!!!!!!!

 
Hahaha! Una maakili kama nyau wa kidhungu! Nilikuwa nataka kumuambia aombe ushauri kwa nazjaz manake ana uzoefu na mawaziri. Siku akitakwa na mume wa mtu akuone wewe, akitakwa na konda mvuta bhange I will be there for her!
Hehehe! Mke mwenza usinione kwa wasi wasi ati! Nasubiri atakwe na mme wa mtu aje kwa ushauri lol..
 
wana jf kuna waziri wa sekta flan na ameoa ila anansumbua ananihonga hadi gari hii inanifanya hadi nitake hama nchi
ushauri plzzzzzz
regards tracy wa njiro

Uame nchi kisa waziri kakutongoza!!!!!!!!!!!!Huo mwili wako au anaumiliki waziri?Uwezi kumwambia sitaki?AU kwakua ni mkubwa hana haki ya kuambiwa sitaki!!!We nawe sasa!!
 
Ukichukua gari mwmbie akupe na hela ya sanda na jeneza lako hilo gari ndo litakupakia kurudishwa kijijini kwenu,mabinti mna tabu nyie yaani unajua kabisa ana mke wake unakuja hapa JF kutuomba ushauri ukiona hivyo jua umeshalegeza kamba na atakupata,fikiri kwanza huko Dodoma ni wangapi ameshawahonga magari unafikiri ni wewe tu?!Be carefull
 
waziri????wa njiro,ungalimited au babylone maana kuna mawaziri mitaa hiyo,sithani kama unaweza kukataa na mbwebwe zote hizo za kuongwa gari,gariii je umelipokeaa?
 
Hasara kwa wazazi wako..........uhame nchi kwa kutongozwa??????

Ulijuaje anakutongoza kama hukumsikiliza?????
 
Back
Top Bottom