Waziri ajinyea baada ya kumuona Magufuli

youngsharo

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,491
500
Waziri wa uchafu, shombo na takataka bwana Nzi kijani amejikuta akiharibu hali ya hewa katikati ya watu baada ya kuliona gari la Mh Magufuli,

Imesemekana chanzo cha sakata hilo ni kwamba, Nzi huyo alikuwa ametoroka kazini kwake maeneo ya kurasini Maji machafu [mabwawani], nzi huyo alitoroka eneo lake la kazi na kwenda kuzurura mjini lakini kwa bahati mbaya ndipo alipokutana na Mheshimiwa.

Tunatoa pole kwa yaliyomkuta Nzi huyu ambaye ni waziri wa uchafu shombo na takataka.

HAPA KAZI TU.
 
Shule mnafungua lini kwa harakahara ww hâta 15 huna na inaelekea unavuta sana bangi
 
Matumizi la hilo jina la mh magufuri litumike vizuri mana yatakapokugeukia usiseme hatukukwambia.uhuru uliopewa tumia vizuri
 
Back
Top Bottom