Waziri aibiwa akiwa gesti

Jimboni kwake kalala Guest!!???? Kweli serikali ya chama cha malaya!! unakumbuka Malima aliibiwa na Changu morogoro!!

amebiwa Bariadi, jimbo lake ni Busega.
 

Nxuuuuuuuu..... p.u.m.avu
 
CCM bhana wanadhani wale malaya wana akili za maCCM wanaoachwa ktk mikutano baada ya kupelekwa na magari?Angekuwa kaibia ktk shughuli nzuri angetoa ushirikiano kwa waandishi na kukemea wizi.Sasa hajalipa malaya kamnyoosha...NDIO KIWANJA KIPYA KAGUNDUA CHA KWENDA TOA MOVIE YA PORNO YA KUMFUNIKA KOMBA?AU KAPUYA?AU MALIMA?.....
 
Waziri analaka guest akiwa mitaa ya kwao?Mmhhhhhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…