Waziri aibiwa akiwa gesti

Aliyekuwa akiongelewa Hapo ni Mbowe na Slaa, Mbowe alimchukua Mkya (Mb.) Nakumpeleka Dubai kumpiga miti kwa fedha ya Walalahoi, Slaa aliwahi kupita katika majukwa akimtangaza Josephina Mshumbusi kuwa eti ni mchumba wake!, Padre huwa haoi, hata akiacha au kuasi huwa haoi milele. Kama mtu anabisha hili, natangaza dau la mil.moja, Kama atatuonesha cheti cha ndoa kati ya Mzinzi Slaa na Malaya Mshumbusi. Dhambi aliyonayo ndiyo iliyomsababisha akaanguka gesti na kuvunjika limkono lake. Atakufa akiwa kilema.
 
mwaka mbona wataipata fresh.......
 
Siku hizi wanapaka cocaine kwenye nyonyo zao! Ukilengeshwa na wewe ukajidai bingwa wa mapenzi matokeo yake ndiyo hayo. Asubuhi unajikuta umeibiwa kila kitu. Pole sana Waziri Kamani hata Bariadi ni mjini eti!
 
Usijekuta alikuwa anajaribu kufuata nyendo za MACHEMLI.
Siyo nyendo za yule kepteni mstaafu, aliyetishia kwenda msituni,ikiwa ile topic yake, haitapigwa STOP!!

Hata hivyo wadau wameshangaa kwa nini 'HEAVY WEIGHT' huyo amepanic kiasi hicho, wakati wadau wameridhishwa kabisa na utetezi wake, kuwa moja ya majukumu yake, akiwa jimboni kwake, ni kupiga picha zenye 'mapozi' na wapiga kura wake, kama alivyofanya na huyo mdada wa khanga moja!!
 
labda kama alikuwa ametoka chumbani hivi unalala fofofo mpka mtu anaingia chumbani anakwiba kila kitu husikii?? usingizi gani huo?
 
Huwezi kupewa kazi ya umma halafu unaishi kihunihuni mabarabara yapo tele ............ By J NYERERE .My take Mheshimiwa anapaswa kujiuzulu kwa mujibu wa baba wa Taifa mwasisi wa ccm.
Absolutely true!
 
labda kama alikuwa ametoka chumbani hivi unalala fofofo mpka mtu anaingia chumbani anakwiba kila kitu husikii?? usingizi gani huo?
Huo usingizi unaitwa wa PONO plus PORNOGRAPHY activities!!
 
Hapo kwenye RED nadhani umegeuza kalenda juu chini:A S-confused1:
Gazeti la Nipashe siku ya Jumapili ndio linaitwa Nipashe Jumapili,sasa usiniulize kuhusu la jumatatu,jumanne n.k
 
Jimboni kwake kalala Guest!!???? Kweli serikali ya chama cha malaya!! unakumbuka Malima aliibiwa na Changu morogoro!!
 
DAFTARI LA WAGENI LA NYUMBA HIYO LICHUNGUZWE , utakuta MPANGAJI WA CHUMBA HAKUWA YEYE .

Ile hotel apoibiwa mheshimiwa ni ya kwake. Ameanza kuikodi kama kitega uchumi chake muda fupi kabla ya kuukwaa uwaziri. Nafikiri hata kwenye kitabu cha wageni hakuandika maana alijiona yupo kwake. Wajanja wakaamua wamfundishe kuwa makini.
 
Ameibiwa vitu mbali mbali kadi za benki na fedha........ Simu hajaibiwa duh!!

Dadadek!! Michepuko sikuizi wanapaka dawa kwenye chuchu, nyonya kama hujalala siku mbili!!

Michepuko noma!!!
 
ataje kiasi cha fedha taslim mrembo alojichukulia na thamani ya vitu vingine na mabastola jee. tunataka kujua yeye na malima nani zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…