Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,962
- 100,097
Juzi usiku katika maeneo ya Msasani Bonde la Mpunga....Ndugu Waziri Ally mkazi wa maeneo hayo..alifumaniwa na mke wa rafiki yake akiwa Bar.........
JF Chit -Chat
Kuna siku niliwahi kununua Gazeti kisa kichwa cha habari kama hiki
Acha hiyo, ushawahi kuona "Rais Ampiga Mkewe"
Kusoma habari (baada ya longolongo nyingi za kuanzia) unakuta "Rais wa chama cha mchezo mmoja mashuhuri nchini (jina la mchezo tunalo) amedaiwa kusadikika kwamba inawezekana alimpiga mkewe usiku wa juzikati kwa mujibu wa majirani (majina tunayo )...
Hizo zote bado hazijatulia!
Nilipigania kununua gazeti miaka ya 2000, likiwa na kichwa cha bahari:
"KUMBE NYERERE ALIMPAPASA AMINA CHIFUPA"
Kuja kusoma ndani wanaeleza jinsi Mwalimu alivyofika nyumbani kwa Mzee Chifupa, enzi hizo Amina ndio katoka kuzaliwa, na akambeba na kumpapasa kichwani!
Juzi usiku katika maeneo ya Msasani Bonde la Mpunga....Ndugu Waziri Ally mkazi wa maeneo hayo..alifumaniwa na mke wa rafiki yake akiwa Bar.........
JF Chit -Chat
Kuna siku niliwahi kununua Gazeti kisa kichwa cha habari kama hiki
Tayari Mmeanza!...:A S embarassed:inaonyesha ni kiasi gani unapenda ushahidi........
inaonyesha ni kiasi gani unapenda ushahidi.......
Tayari Mmeanza!...
Nitam'Dip TANMO sasa hivi aje awasambaratishe!...ohoooo!
Tayari Mmeanza!...:A S embarassed:
Nitam'Dip TANMO sasa hivi aje awasambaratishe!...ohoooo!
mamie Preta ...kwani hujawahi kukutana na habari kama hizo?
Preta sio mamii yako bana!...Hivi umesahau mara hii eeh?...Hujui Tanmo alikuwa hapa kwa wiki 2 analishwa na kunyweshwa na Preta? ...Hujui mwenzio aliniachia Fifty ya karibu ili nimkamilishie mipango?...TANMO HAKUNAGA bana! Yule mtu ni kidume!mamie Preta ...kwani hujawahi kukutana na habari kama hizo?
Nimefungua haraka kumbe hamna kitu.
Preta sio mamii yako bana!...Hivi umesahau mara hii eeh?...Hujui Tanmo alikuwa hapa kwa wiki 2 analishwa na kunyweshwa na Preta? ...Hujui mwenzio aliniachia Fifty ya karibu ili nimkamilishie mipango?...TANMO HAKUNAGA bana! Yule mtu ni kidume!
nimekutana lakini sizikimbilii mpaka nisikie uthibitisho......sio kama wewe na PJ......
PJ..achana utani wako..ujue utamua mtu chake kwa presha?....Preta hizi Taarifa za kweli?
ni za kweli kabisa.......
ndio hiyo hiyo sasa......