Wazenji sasa hii sifa

Wazenji sasa hii sifa

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,475
Reaction score
4,454
b96c13f7b3edee509be86e31fa9fb868.jpg
 
Wasukuma wakurya ndiyo wanaiweza hiyo nguna ila wazenji unawasingizia wao ni urojo
 
Na wanaume wa dar je wanaweza kumaliza!?
 
Iliona wapi mpemba kala ugali ?
Mtoa mada kuwa serious kidogo.
 
Hakuna mzenji mwenye pawa yakumaliza huo ugali,hayo ni watu wamikoani
Mkuu usibishe, achana na wavuvi wa kizenji, yaani wale jamaa wanakula ugali sana kwa samaki na ndio chakula chao cha siku zote
 
Wazenji hawayawezi haya mambo zao kulegeza mikono vyakula vyao tambi na vitu laini laini
 
Hapo wako watatu na mpiga picha..so hakuna cha ajabu
 
Zenji na ugali wapi na wapi,em tuondolee hao wasukuma hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom