Wazee wenzangu mmeitambua School Bus yenu?

Wazee wenzangu mmeitambua School Bus yenu?

Wale wa Nsumba Boys, lipo karibu na bweni la Mkwawa kabla hujafika jikoni.
 
Umenikumbusha mbali sana Mkuu

Enzi hizo chuo cha ualimu Ifunda na wenyewe walikua na basi lso la rangi ya bluu yale yana kichwa cha Isuzu...dah Ifunda The Glorious Technical School live long forever.....
 
Wenzako ilikuwa kiguu na njia kwenda Kibaoni kupiga ulanzi. Shule raha sana jamani.

Kibaoni pale Mnarani kuna siku nimejiegesha nasubiria Hiace niingie Iringa Town, mara Mwl Mbata (Mtaalam wa Chemistry) huyu hapa, nilivyomuona nikamkimbilia nikamsalimia akabaki anashangaa. Nikavunga naelekea shule alivyopotea tu, nikabadili upepo hadi Kibaoni stand nikadaka gari town kuchukua mpunga...ningelazwa.
 
Kibaoni pale Mnarani kuna siku nimejiegesha nasubiria Hiace niingie Iringa Town, mara Mwl Mbata (Mtaalam wa Chemistry) huyu hapa, nilivyomuona nikamkimbilia nikamsalimia akabaki anashangaa. Nikavunga naelekea shule slivyopotea tu, nikabadili upepo hadi Kibaoni stand nikadaka gari town kuchukua mpunga...ningelazwa.
Ha ha ha balaa
 
Enzi hizo chuo cha ualimu Ifunda na wenyewe walikua na basi lso la rangi ya bluu yale yana kichwa cha Isuzu...dah Ifunda The Glorious Technical School live long forever.....
Ukitaka kubadilisha menu ya msosi ulikuwa unaenda kumsalimia jamaa yako Chuo cha Ualimu Ifunda. Ha ha ha!
 
Ukitaka kubadilisha menu ya msosi ulikuwa unaenda kumsalimia jamaa yako Chuo cha Ualimu Ifunda. Ha ha ha!

Kule ilikua tunaenda kula canteen. Maswala mazima ya kubadili menyu ilikua unaingia Mbeya Technical (FTC) hii ilifanya vijana wengi watamani FTC kuliko A level.
 
Waliopanda haya magari ilikua ni nadra sana kusikia wanalialia kua hawana ajira
... ni kwa sababu population, educated people, and therefore competition haikuwa kubwa kama ilivyo leo. Enzi hizo ukimaliza F4 hata kwa 4 ya FFFFFDF ulikuwa na uhakika wa ajira Urafiki Textiles, Sunguratex, Mwatex, Railways, Tanesco, Posta na Simu, and the like! Leo yako wapi? Masters kibao mtaani zinalia njaa.
 
Daahh, Isuzu inaendelea kuliwa na mchwa
IMG_20210813_194621_820.jpg
 
... ni kwa sababu population, educated people, and therefore competition haikuwa kubwa kama ilivyo leo. Enzi hizo ukimaliza F4 hata kwa 4 ya FFFFFDF ulikuwa na uhakika wa ajira Urafiki Textiles, Sunguratex, Mwatex, Railways, Tanesco, Posta na Simu, and the like! Leo yako wapi? Masters kibao mtaani zinalia njaa.
Usisahau kwamba stadi za maisha zilipewa kipaumbele pia. Leo hii mtu anakariri masomo' akienda field hana anachojua zaidi ya maandishi.
 
Milambo (ulamboni),
Kwa mzee msengi,
Form V nilitempa sana hiyo shule, Ila walipo kuja form V wetu pia walitempa kama kawaida.
 
Back
Top Bottom