mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,560
- 10,613
Shangaa na wewe. Anataka kweli kufananisha na zile gari za njano?😂😂😂Sasa hiyo ni school bus au school lorry.
Shangaa na wewe. Anataka kweli kufananisha na zile gari za njano?😂😂😂Sasa hiyo ni school bus au school lorry.
Ifunda Technical Secondary School tulikuwa tunaita "TRUCKER"umenikumbusha pola na katara..wazee wa njoss wamenielewa
Af leo kuna kenge anadiss mjapani... multipurpose hiyo kaka! Msimu wa likizo inawatoa porini huko hadi mjini kuunganisha treni! Usafiri bora kabisa wa enzi zile.
... Mkuu salute kama unakumbuka hadi jina la dereva (yeyote) wa TX/TXD za shule! Unazungumzia 35 yrs ago!Nimelimiss sana la LYAMUNGO BOYS aisee. Alikua anaendesha jamaa mmoja anaitwa Omera,basi tulikua tunatimba nalo Machame Girls au Ashira kibabe mno. Namiss sana zile moments aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
... Isuzu TX Direct Injection achana nazo kabisa! Alinisimulia mzee eti mjapan alikuwa ametoa warranty endesha upendavyo ukiweza kuvunja spring anakulipa! Anyway, sikuweza ku-prove hayo madai.Af leo kuna kenge anadiss mjapani
... zile za njano zenye hadi wahudumu wa kuwabebea school bag na kuwavusha barabara? TX/TXD ikipita kituoni ndio mnafungua shule haisimami; inapunguza mwendo tu ujanja wako kuwahi. Ukizubaa likiondoka ni hadi wiki ijayo kuonekana tena maeneo hayo.Shangaa na wewe. Anataka kweli kufananisha na zile gari za njano?😂😂😂
Nawewe maza mkubwa ulipanda skuli bus za njano?Shangaa na wewe. Anataka kweli kufananisha na zile gari za njano?😂😂😂
Hata wakati tukiwa Mzumbe Boys tulikuwa na mkweche kama huo
... huhitaji ushahidi mwingine wowote; nenda kituo chochote cha afya kinachotoa Covax jitambulishe kwa mhudumu uchanjwe haraka kama bado. Umekidhi vigezo!Hata wakati tukiwa Mzumbe Boys tulikuwa na mkweche kama huo
Nimeshachanjwa zaidi ya mara moja. Ila bado nawapelekea moto kama kawa.... huhitaji ushahidi mwingine wowote; nenda kituo chochote cha afya kinachotoa Covax jitambulishe kwa mhudumu uchanjwe haraka kama bado. Umekidhi vigezo!
Wazee wa Nyamagana, Ndovu, Kihesa, Matarawe, Ramadhani na Kibena Hospitalumenikumbusha pola na katara..wazee wa njoss wamenielewa
Ifunda Technical Secondary School tulikuwa tunaita "TRUCKER"
🤣🤣🤣 Ulanzi noma, nilienda kwenye familia moja wakanipa nikakataa wakashangaa sana na kuanza kuniita mtoto wa mchungaji. Hata mimi sikuwahi uonjahahaha bila kusahau majirani zetu wa mtwango na hagafilo, sema najilaumu niliondoka kule bila kuonja ulanzi
[emoji445]Lyamungo shule yetu mchepuo wa kilimo pamoja na fani nyingine[emoji445]Nimelimiss sana la LYAMUNGO BOYS aisee. Alikua anaendesha jamaa mmoja anaitwa Omera,basi tulikua tunatimba nalo Machame Girls au Ashira kibabe mno. Namiss sana zile moments aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali sana Mkuu