Wazee wenzangu mmeitambua School Bus yenu?

Wazee wenzangu mmeitambua School Bus yenu?

Betason

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
389
Reaction score
712
255718199663_status_5588c9939e7648ce88684a53ed6b5b1f.jpg
View attachment 1888624View attachment 1888625
 
Bila shaka hilo ni Bedford
... hapana. Hiyo ni Isuzu TX Direct Injection. Na hiyo rangi (light blue) ndio ilikuwa STANDARD color ya hizo gari (cabin + body). Bedford STANDARD color yake ilikuwa broken white (cabin).
 
Yalitumika sana kuwahamisha walimu hayo
... ha ha ha! Walimu na familia zao! Tena ukifanikiwa kulipata wewe kidume; Direct Injection inamhamisha mwalimu toka Sumbawanga kwenda Mpwapwa? Kama mwalimu mzuri shule nzima mnakusanyika wakati wa kuagana mnabubujikwa machozi mwalimu anahama! Aisee, dah!
 
Nilipanda haya magari enzi hizo Liyamungo high school
... shule kongwe akina Lyamungo, Ilboru, Kibaha, Mzumbe, Moshi Sec./Tech, Weruweru, Msalato, etc. hazikukosa hayo magari! Sijui yalikuja kwa msaada? Alikuwa anapandaga mwalimu mkuu kufuatilia mahitaji ya shule mjini!
 
Back
Top Bottom