Wazee wenzangu 60 +

Wazee wenzangu 60 +

Hebu tupeane uzoefu kumtongoza mwanamke wa umri 60 +. Nini matokeo? Je, kuna uwezekano wa kupigwa kibuyu? Wazee wenzangu hebu tupeane mrejesho.

Kuna mzee mwenzangu nina hofu asije nitangaza akanivunjia heshima. Wasiwasi wangu wanawake huongea sana.🙂🙂🙂
60+60 = ??? Tafuta pesa upate 60-30 = Used from China
 
Hahaha..............yaani Kwa Rika lako, kama utajitunza na kulinda afya, una uhakika wa kuishi hadi kuwaona DP World wakikabidhi bandari zetu baada ya Mkataba wao kuisha
Sema nini babu🤔 apo kwenye uzinzi najilinda tatizo mitungi😅
 
Back
Top Bottom