Wazee watazidi kutuhenyesha vijana

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Nimekuwa nikijiuliza hili lindi kubwa la wanawake kutembea na wazee, wazee ambao ni sawa na baba/babu zao, mwanamke anapata raha gani kuwa na mzee, kwanza nguvu hana na pia hata kuonekana naye nia aibu kubwa. Ikanibidi nifanye utafiti na nimekuja na haya majibu:

1. wazee hawana muda wa kuwabana hawa dada zetu, maana mzee ana familia yake, hivyo mwanamke kuwa huru na boyfriend wake muda mwingi isipokuwa nyakati chache za kuwa na zee lake, hata kugundua mwanamke wako yupo na mzee ni ngumu sana. Na kwa kuwa wanawake wanapaenda uhuru wa kufanya mambo yao, basi wazee ndo wamekuwa kimbilio lao.

2. wazee wana pesa, si unajua walishatafuta muda mrefu na sisi vijana ndo kwanza tunahangaika, wazee tayari wamemaliza kusomesha watoto wao, wana majumba na tayari walishawekeza vya kutosha, sisi vijana ndo kwanza tunafukuzana na hela ya kununua japo ka kiwanja mabwepande, bado kujenga, watoto kwenda shule, mke kumtunza na mengine.

Kwa changamoto hizo vijana tuna kazi kubwa kukabiliana na huu uasi wa wazee wetu.
 
Wazee wamechoka.. Kimoja tu hamna kitu. Sana sana wanakula kwa macho.

Pale wanafwata Hela tu.... then ana kijana wake wa pembeni wa kupiga vyombo vya maana.
 
Tatizo vijana mnayapa mapenzi first priority..

jengeni maisha yenu kwanza.. other rhings will follow!
 
Halafu vizee vinajua kifo cha mende tu,sio visumbufu kama vijana kukunja wenzao sijui,mbuzi kagoma,kifarasifarasi,kichurachura etc
 
Haya malalamiko hayasaidii kitu, dawa ni vijana kutafuta pesa na kuwa tayari kutumia/kuhonga sababu huo ni wajibu wa wanaumme, lakini ukisema unatafuta maisha utaendelea kulalamika hivyo hivyo, na kulalamika sana sio poa.
 
Wanamegwa na vibabu,wanaiba waume wa wenzao uso mkavu hawana aibu_mwanafa.
Ndo maana huwa mnamegwa na wazee wa umri sawa na babu zenu-mwanafa.
 
Haya malalamiko hayasaidii kitu, dawa ni vijana kutafuta pesa na kuwa tayari kutumia/kuhonga sababu huo ni wajibu wa wanaumme, lakini ukisema unatafuta maisha utaendelea kulalamika hivyo hivyo, na kulalamika sana sio poa.

siyo malalamiko mkuu, bali ni angalizo kwa vijana,
 
Wazee wamechoka.. Kimoja tu hamna kitu. Sana sana wanakula kwa macho.

Pale wanafwata Hela tu.... then ana kijana wake wa pembeni wa kupiga vyombo vya maana.

kwa hiyo ni sawa kupiga kimoja tu halafu akulete wewe upige vyombo?
 
Wazee wamechoka.. Kimoja tu hamna kitu. Sana sana wanakula kwa macho.

Pale wanafwata Hela tu.... then ana kijana wake wa pembeni wa kupiga vyombo vya maana.

thubutu...ntafute uone
 
Tatizo vijana mnayapa mapenzi first priority..

jengeni maisha yenu kwanza.. other rhings will follow!
Wewe mwenyewe avatar yako inaonyesha unaendekeza mapenzi.
 
siyo malalamiko mkuu, bali ni angalizo kwa vijana,

Angalizo ndio hilo nililokupa, kutafuta pesa na kuwapatia hao wanawake, ama sivyo tutaleta migogoro isiyoisha kwenye jamii.
 
Wazee shoo yao si kubwa halafu mkwanja mrefu,wakati vijana mnasimamia shoo hata kwa kucha yaani usiku muda mwingi ni shoo halafu asubuhi mtu anaondoka na 5000 unafikiri watapenda kuwa na nyie vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…