We inaonekana, ulikimbia shele kwa kula ada
Hasa hawa dogo waliosoma Ulaya na Marekani halafu wakarudi tupu baada ya kupukutisha ada ndio wenye matatizo ya kuwasumbua sana dingi wao; wanajidai kutaka kumaintain lifestyle ya huko walikofulia!!
We inaonekana, ulikimbia shele kwa kula ada
Mkuu wazee wanatafuta mali kwaajili yao/wajukuu/vijukuu sio mbaya tukipewa kazi hata sisi mbona wadosi wanabebana.Hasa hawa dogo waliosoma Ulaya na Marekani halafu wakarudi tupu baada ya kupukutisha ada ndio wenye matatizo ya kuwasumbua sana dingi wao; wanajidai kutaka kumaintain lifestyle ya huko walikofulia!!
kumbe hujajua,vibabu havitaki kuendeshwa kwakuwa vinamega vi-honey vyenu na ndiyo vinaongoza kuwa na totoz kali kwakuwa vinahonga hadi uliotakiwa kuwa urithi wenu.lenzi mbonyeo!.hata traffic akikuta kibabu.anaishia kuamkia na kusepa!.vinabana ajira! havina michepuko kama vijana kwanini ukomae kujiendesha!
kumbe kina waendesha mutuka,dahOooh......basi hujakutana na madereva wewe......hao unaowaona wa speed 40 ni waendesha magari

Babu atazima akiendekeza ba mwasi.ba petit ndio banakamatisha bamwashi bila rijaa/mbongo banabatosha na loketo tu.njoo vilekumbe hujajua,vibabu havitaki kuendeshwa kwakuwa vinamega vi-honey vyenu na ndiyo vinaongoza kuwa na totoz kali kwakuwa vinahonga hadi uliotakiwa kuwa urithi wenu.
Nasiku hizi vinakula"mundende"ile ya congo njo vile fame inagaulaka kwa bed ile mbaya.
kweli mkuu.ukauzu haukubaliki kuna wazee ni mabandidu sana.Na wawafundishe na kurithisha ufundi wa hayo magari.Siyo gari likiharibika mzee anamuondoa kijana kwa kumuagiza kitu fulani mbali.
Anafanya hivyo ili kijana asjifunze ufundi toka kwa mzee.Hatimaye huyo mzee anakufa na ujuzi wake.
Ingia direct kwenye thread tupige dongo...hapa hapafai watapandisha mori km masai !!Inabidi.uwemo,tuwarudishe kwenye mstari hawa wazee!.utakufeje na maujuzi bila kurithisha vijana? yeye si alifundishwa!
