Wazee wapeni magari vijana waendeshe!

Wazee wapeni magari vijana waendeshe!

punguza jazba mkuu! huna watoto?.tupo TZ mifano ya Ulaya is not reachable huku! vijana hawana capital.watalima veepe? nyie wazee ndio mtupishe hapa tawo mwende mkuranga mkale upepo na natural food
Capital nguvu zenu mnazojivunia. Mkaanzishe mashamba mkuranga au vjijini kwenu mjiajiri. Ukiona tumefika uzee tuna magari tulitumia capital ya nguvu zetu sawa sawa si kuonea rika Fulani. Uzee ni Lulu na Heshima
 
Nguvu bila mtaji hufiki popote mkuu!..tupe ajira vijana tule mema ya nchi kama nyie! khah
 
Ngoja nikadai gari kwa Maza....nitanue mjini[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mtovu wa nidhamu sana huyu kijana......aombe radhi tafadhali.......
Preta,siombi radhi,hawa wazee wanatuwekea usiku sana kwenye barabara za mjini.kwenye rush hours! wanatunyima ajira.
 
Sio hapo kwenye wazee.......ni hapo kwenye mbele akiwa mwanamke ni tatizo.........
Hivi umetuonaje kwa mfano.......?......
 
mko makini mpaka mmepitiliza! mnafuata sheria kama zilivyokwenye vitabu bila kujari mazingira! mwendo wengi speed 40/60 maximum 80[emoji12]
 
Ngoja nikadai gari kwa Maza....nitanue mjini[emoji124] [emoji124] [emoji124]
akujazie full tank kabisa na kipupwe kiwemo.vinginevyo jiandae na kidumu foleni za mujini bongo.
 
mko makini mpaka mmepitiliza! mnafuata sheria kama zilivyokwenye vitabu bila kujari mazingira! mwendo wengi speed 40/60 maximum 80[emoji12]

Oooh......basi hujakutana na madereva wewe......hao unaowaona wa speed 40 ni waendesha magari
 
akujazie full tank kabisa na kipupwe kiwemo.vinginevyo jiandae na kidumu foleni za mujini bongo.
Vibibi na vibabu viache ubahili....vijana tutambe barabara ni...gari zenyewe hadi wavae miwani za lenzi mbinuko
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Oooh......basi hujakutana na madereva wewe......hao unaowaona wa speed 40 ni waendesha magari
wanawake wengi ni waoga katika uendeshaji hawana roho ngumu za wanaume kuwahi rush hours! always they like being on safe side,labda ww Dr.upo tafauti nao.
 
Vibibi na vibabu viache ubahili....vijana tutambe barabara ni...gari zenyewe hadi wavae miwani za lenzi mbinuko
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
lenzi mbonyeo!.hata traffic akikuta kibabu.anaishia kuamkia na kusepa!.vinabana ajira! havina michepuko kama vijana kwanini ukomae kujiendesha!
 
Bora vibaki home vibwie ugoro
tu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
jitahidi sana utafute yako dogo

Hawa dogo wana vijicorolla vyao sasa dingi wana magari ya nguvu: BENZ, RANGE,BMW sasa hawa dogo wanataka wapewe hizi gari za dingi waende nazo kulewa na kutafutia wachumba huku bado wanakaa na wazazi tao!! Dingi wanawabania ili waanze kutafuta vyao waache kuwa tegemezi!!
 
Haha dogo sana vijicorolla vaya sasa dingo wana magra ya nguvu BENZ, RANGE sasa hawa dogo wanataka wapewe hizi gari za dingo waende nano culera na kutafutia wachumba huku bado wanakaa na wazazi tao!!
mkuu kusafisha nyota imo,sio mbaya!.asa vijana wanaishia kuosha na kufuta tu!
 
Hayo mawazo mnayojidanganya kuwa mnasafisha nyota ndio huwa yanawalemaza!!Wafute VITZ zao ndio wakasafishie nyota!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom