The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,320
- 103,548
Kwahiyo mleta mada unashauri mtu akifika umri fulani asipewe driving licence? Au driving licence yake isifanyiwe renew?
Mimi nafikiri ungeleta fact kuwa ajali nyingi zilizotokea zimesababishwa na wazee hiyo kidogo ingeleta maana,lakini kulaumu tu wazee pengine ajali nyingi husababishwa na vijana hiyo itakuwa haina maana.