East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,761
- 1,195
Kwa sababu Mandela hakufia kijijini kwake wazee walikusanyika kwanza kwa kazi ya kuifuata roho yake alikofia porini ugenini na kuipata na kuileta nyumbani kijijini.Baada ya kufika waliikaribisha na kukesha nayo wakiongea nayo na kufanya nayo makaribisho makubwa.Msafara huo wa kuifuata na kuikaribisha huongozwa na mzee aliyebobea kwenye hayo mambo.
Baada ya kumaliza makaribisho ya roho yake ndipo ruksa ilitolewa kuwa mwili wake waweza pelekwa kijijini
Sanda yake alivalishwa ngozi ya simba
Maziko yake yalifanyika muda ambao kivuli kinakuwa kifupi mida ya mchana jua linapokuwa kali usawa kama wa kichwa ukisimama.(linapokuwa katikati ya angani muda wa mazishi huangalii saa unaangalia jua na urefu wa kivuli chako kuna pale kivuli kinapokuwa kifupi sana ndio muda alizikwa)
Baada ya mazishi ya mwili wake shughuli ya usindikizaji roho yake ilianza akisindikizwa na wazee wakiwemo waliobobea katika mambo hayo kutoka ndani nan je ya Afrika ya kusini.Mialiko ilitumwa na wazee wa kushiriki kwenye hiyo shughuli.Sitawataja kwa sababu ya miiko.Ulikuwa ni msafara mrefu ulikokuwa umejaa wazee waliovaa nguo za shughuli huku kila mmoja aki-chant kikwao kusindikiza roho ya mzee mandela ikiongozwa na na Raisi mmoja wa Afrika mjuzi wa hayo maeneo.