Isaac Chikoma
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 475
- 101
Jamaa anajiweza aisee... hayo mamilioni aliyotoa ni kwere. Na bado kazi inaendelea
Jamaa bado hajalipa na court inasema hana uwezo wa kulipa kiasi hicho, labda atalipa mil mbili hadi nne tuu.Jamaa anajiweza aisee... hayo mamilioni aliyotoa ni kwere. Na bado kazi inaendelea
Jamaa alichosema kwenye blog yake ni kuwa watafanya tu mabadiliko ya mfumo tu... Ila kazi bado Inaendelea.. na walikuwa wanasherehekea sherehe ya miaka 10 na anafikiria miaka 10 mingine mbele.....Shida pia ni kwamba huyo jamaa ndiye anayehost pia baadhi ya torrent sites,akifungiwa na site nazo zinakuwa hazipo.
Mwisho wa maneno ni TPB, kila siku wanakamata server zao inatoweka hewani siku mbili inarejea, hao ndiyo wanazi haswaa; owner alishawahi kupigwa jela na kulipa fine lakini wanaume bado wamesimama. Wale wakongwe nadhani mnakumbuka Limewire, wazee wa kukamua malimao walivyopigwa pini na kufa kabsaa, kulikuwa na Ares pia dah! TPB lives on!
Mwisho wa maneno ni TPB, kila siku wanakamata server zao inatoweka hewani siku mbili inarejea, hao ndiyo wanazi haswaa; owner alishawahi kupigwa jela na kulipa fine lakini wanaume bado wamesimama. Wale wakongwe nadhani mnakumbuka Limewire, wazee wa kukamua malimao walivyopigwa pini na kufa kabsaa, kuli
Mkuu nashukuru sana hiyo TBP nikua cjui hapa full kupakua...pa1 sana.
wasijefunga kickasstorrent (kat.ph) tu, itakuwa majanga..