Habari wadau,
Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs.
Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion anaimba mizik aina gani pop au soft rock jibu ni kwamba anaimba zote japo anasifika sn kwa soft rocks.
Ok ngoja tuweke mziki mezani.
Celine Dion - My Heart Will Go On, Immortality, Power of Love, I Am Alive nk
Mariah Carey - We Belong Together, Always Being My Baby, Touch My Body, My All nk
Madona - La Isla Bonita
Shwain Twain - U Leave My Away
Toni Braxton - Unbreak My Heart
Whitney Huston - I will Always Love You
Marvin Gaye - Sexual Healing
Gerge Michael - Carelesswhispers
Ongezea za kwako