Mzee wa majesta ,mwendazake -ndago ,loong time umeuacha uzi kwa muda mreefu,ni kwamba umeamua kuwa na trip za hapa town kama kaka yake saint Anne mzee holy man😁😁😁 ???
Nilimsamehe on the spot pale polisi, sikutaka niandikishane naye asinilipe ajione mjanja. Nikamwambia okoa muda wangu, tusilale polisi mpaka Jumatatu, beba bumper zangu nifuate mpaka Dar unifikishie nyumbani then you will be free to go.
Leseni yake ilibaki pale polisi, anajua mwenyewe alivyoitoa. Najitahidi kukwepa sana kudeal na hawa jamaa, ukishawakabidhi funguo wa gari ni salia mtume tu.