Usiku siwezi ule mwanga wa gari za upande wa pili.Safiri usiku maanake vyeti ni kwenye 50 limit au panazuia kuovateki usiku hamna hivyo vizuizi.
Ukifika petrol station kama hujazi full tank, mpe hela yake kabisa. Yeye ndo atajua unataka ya 30 na hawezi weka 50.Kuna dem na stress zake aliwahi kuniwekea wese la 50 badala ya 30! Ilikula kwake straight away
Wewe ni mteja muelewa sana mkuu.Ukifika petrol station kama hujazi full tank, mpe hela yake kabisa. Yeye ndo atajua unataka ya 30 na hawezi weka 50.
Hii ya kuongea sio effective kabisa.
Nikiwa natoka, hela ya matumizi ya gari haikai kwenye wallet, naiweka kwenye center console. Iwe ya mafuta, fine, parking, kuosha n.k.
Nikifika petrol station, nachomoa fungu lake nampa, kama ya 100k, nampa 100k yake. Ikiwa full namwambia jaza mpaka juu, huku namuhesabia fungu lake.
Hii ya kuongea naonaga risk sana.
Ipo wapi?Wewe ni mteja muelewa sana mkuu.
Natamani siku moja upite kutuungisha station kwetu.
Ipo njia ya mbezi kinyerezi ,,ukitoka mbezi ukipita Total,inayofuataIpo wapi?
Victoria? Au kabla ya kufka malamba mawili? [emoji23][emoji23][emoji23]Ipo njia ya mbezi kinyerezi ,,ukitoka mbezi ukipita Total,inayofuata
Karibu sana [emoji847]
Kabla hujafika malamba..kuna kakituo kakishua shua.Victoria? Au kabla ya kufka malamba mawili? [emoji23][emoji23][emoji23]
Inaitwaje?Ipo njia ya mbezi kinyerezi ,,ukitoka mbezi ukipita Total,inayofuata
Karibu sana [emoji847]
Unakuja?? Au unanipiga kamba😂Inaitwaje?
Aaaaah nshaijua huyo ni ile pale iliyo ktk kituo cha kwa nipe, mbele ya MUGGY CAFE, km unaenda kinyerezi, ile kweli ya kishua sanaaaah,Kabla hujafika malamba..kuna kakituo kakishua shua.
Ipo mitaa ya kibozone pale.Aaaaah nshaijua huyo ni ile pale iliyo ktk kituo cha kwa nipe, mbele ya MUGGY CAFE, km unaenda kinyerezi, ile kweli ya kishua sanaaaah,
Ntakutembelea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe iko mtaa wa msigan pale, ni ile mpya iliyofunguliwa karibuni? Napo pazuri mno, ntakutembelea cc angu.Ipo mitaa ya kibozone pale.
Mimi sipo😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe iko mtaa wa msigan pale, ni ile mpya iliyofunguliwa karibuni? Napo pazuri mno, ntakutembelea cc angu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ntakutembelea kesho plz.Mimi sipo[emoji23]
Wewe nenda katuungishe wese hata kwenye galoni tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ntakutembelea kesho plz.
Sema dogo nawe unakaa mbali daah. Yaani Mbezi siyo mitaa yangu kabisa ndiyo maana tangu uje Dar sijakutafuta tuonane maana najua we utashindwa kuja nilipo na mimi kupita huko ni hadi nipate mishe ya kunileta. [emoji53][emoji53]Unakuja?? Au unanipiga kamba[emoji23]
Hujaamua tu kupita..Mbezi siyo mbali.Sema dogo nawe unakaa mbali daah. Yaani Mbezi siyo mitaa yangu kabisa ndiyo maana tangu uje Dar sijakutafuta tuonane maana najua we utashindwa kuja nilipo na mimi kupita huko ni hadi nipate mishe ya kunileta. [emoji53][emoji53]
Nina miezi mingi sijapita huko hasa hiyo njia ya Mbezi-Kinyerezi ndiyo kabisa. Hata safari zangu siku hizi mara nyingi huwa nazungukia Bagamoyo-Msata-Msoga-Msolwa ili kukwepa zile vurugu za Morogoro road hadi Chalinze. [emoji1751][emoji1751]
We nitajie tu jina siku yoyote nikipata wasaa wa kupita huko basi nitajisogeza hapo kwenu nije niweke mafuta ya 5K na kibaby walker cha kuazima ili mniseme vizuri. Halafu lazima nikodolee macho kwenye pump ili msiniibie. [emoji16][emoji16]
Duuh usiniambie ulifikiri pale kijiweni Morogoro nilienda kula bata. Nilisimama kula tu nilikuwa nakuja Dodoma.Hujaamua tu kupita..Mbezi siyo mbali.
Kama unaweza fika Morogoro na kurudi,hapoMbweni hadi Mbezi ndio ushindwe?
Tuungisheni hata elfu 2 tu...hizo elfu 2 2 ndizo zinazojaza hela sasa.
Japo mimi hutanikuta .
Yaani mwaka mzima haiwezekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh usiniambie ulifikiri pale kijiweni Morogoro nilienda kula bata. Nilisimama kula tu nilikuwa nakuja Dodoma.
Zote hizo ni safari za kikazi mama wala siyo binafsi. Ingekuwa binafsi na ningekuwa sina haraka mbona ningepita tu.
Hehe si ndiyo nakushangaa unavyotusimanga sisi wateja wa buku tano na kumi. Kumbe unaujua umuhimu wetu.
Masai kama Masai....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.
Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.
Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.
Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.