Kweli wanawake wengi huwa tunakuwaga wanoko sana makazini kuliko wanaume sijui shida nini. Na hili ni kwenye kada nyingi hasa sisi ambao tuna vyeo vya chini.Asubuhi nilikuwa Babati, nikamwaga moto mpaka Arusha nikachukua parcel. Wakati nasepa pale kabla ya Tengeru walinikazia nikaandikiwa fine kwa kutembea 58 kwenye ile double road. Imagine [emoji2393][emoji2396]. Two lane expressway. Anyway yote maisha. Asante Traffic Revenue Authority kwa kunipa control number nichangie mapato ya serikali. Ila traffic wanawake wana shida flani...
Nikashika adabu mpaka Moshi nikaingia autoxpress kufanya checkup maana brake nilikuwa sizielewi. Ile rough road kule kijijini ililegeza bolt za caliper moja na exhaust ya kushoto nikaichomelea.
Nikamwaga moto mpaka Tanga. Hakukuwa na tochi hata moja ningejua ningefukia tu. Zaidi ya 700km kwa leo, si mbaya.
Aise mimi nikikutana na traffic wa kike wala sisumbuki nae namwambia andika tu maana wanakua na visirani kweli kweliKweli wanawake wengi huwa tunakuwaga wanoko sana makazini kuliko wanaume sijui shida nini. Na hili ni kwenye kada nyingi hasa sisi ambao tuna vyeo vya chini.
Wengi huwa Siyo waelewaAise mimi nikikutana na traffic wa kike wala sisumbuki nae namwambia andika tu maana wanakua na visirani kweli kweli
Ni ka mji kadogo , hakaja changamka hata kidogoSingida kanaonekana kamji kadogo kamechangamka
Huenda nikapiga route kama hiyo, siku za usoni hapo.. 😊😊 maana ofisini imenishusha cheo tena nakuwa mtembeaji tenaRound trip nzuri...hasa ungerudia njia ya Arusha-Moshi-Dar
muwe mnawasifia,Aise mimi nikikutana na traffic wa kike wala sisumbuki nae namwambia andika tu maana wanakua na visirani kweli kweli
Saa nne usiku ukifika hapo hakuna chakulaNi ka mji kadogo , hakaja changamka hata kidogo
Saa nne ukisogea ubungo pale panatazamana na rode huwa panawaka au serengeti huwa panachelewa chelewa kufunga.. huwa na mchizi mmoja ikungi huwa ananichomea mbuzi na kuku hatariiii sanaaSaa nne usiku ukifika hapo hakuna chakula
Stand ndio tunadhani kuna amsha amsha ndio pamefubaa kama sio kuzubaa
Kuna parking ya truck mkabala na hapo
Singida ni Afadhali ya Manyoni na Misigiri kwa huduma za kibinadam
Si ni hadi nipafahamu[emoji3]Saa nne ukisogea ubungo pale panatazamana na rode huwa panawaka au serengeti huwa panachelewa chelewa kufunga.. huwa na mchizi mmoja ikungi huwa ananichomea mbuzi na kuku hatariiii sanaa
Mnalindana....kuna Stori eti mchaga na mpemba walisafiri na treni chumba kimoja siku mbili hawajalal kila mmoja anamhofia mwenzie. Mchaga anajua akilala mpemba atampitia, mpemba anaogopa akilala mchaga atamuibia hela zake!Si ni hadi nipafahamu[emoji3]
Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali
Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa
Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula[emoji1787]
[emoji3][emoji3]Mnalindana....kuna Stori eti mchaga na mpemba walisafiri na treni chumba kimoja siku mbili hawajalal kila mmoja anamhofia mwenzie. Mchaga anajua akilala mpemba atampitia, mpemba anaogopa akilala mchaga atamuibia hela zake!
Na ndio hapo shida inapoanzia[emoji3]Wakinywa muarabu utajulikana ni wewe umeuza!
ukifika nishtue niwe mwenyeji wako asee😎😎 mambo yetu ya kinyaturu sio ya mchezo mchezoSi ni hadi nipafahamu[emoji3]
Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali
Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa
Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula[emoji1787]
[emoji3][emoji3]ukifika nishtue niwe mwenyeji wako asee[emoji41][emoji41] mambo yetu ya kinyaturu sio ya mchezo mchezo
Nimeumiza kichwa hapa, baada ya kujua nimecheka kwa sauti kubwa sanaaWakinywa muarabu utajulikana ni wewe umeuza!
Siku ingine aseee uje ule kuku wanono sanaaa[emoji3][emoji3]
Nimetoka alfajiri ya leo hapo
Nipo muheza now
Sawa MkuuSiku ingine aseee uje ule kuku wanono sanaaa
Hapo ndio utajuaNimeumiza kichwa hapa, baada ya kujua nimecheka kwa sauti kubwa sanaa
Naona kitu cha safari hapo 😀😀😀 hayo maharage huwa ni matamuu baraaa, hapo lazima ule vyote mtengenezaji na chakula nyewe