Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,275
- 2,976
Tufanye hivi...Ukiangalia tyre ya mbele hakuna nafasi ya kurudi nyuma, lakini tyre ya nyuma Kuna nafasi ya kwenda mbele japo ni kidogo mno. Hivyo tutaitumia nafasi hiyo kufanya kitu.
Hahaha aisee.. UmetishaaTufanye hivi...
Lets the front tyre iwe danger zone 1 na tyre ya nyuma iwe danger zone 2.
Danger zone 2 ambayo ni nyuma Kuna space japo ni kidogo mno, hiyo space tuipe jina la ( LAST KISS, watu wa forex wataelewa [emoji23])
Kwaiyo tutaingiza Kona ya kulia hadi mwisho alafu tutaenda mbale kidogo kidogo (kwa tahadhari huku tukicheki side mirror hapo kwenye tyre ya mnyuma kushoto ambapo ni danger zone 2)
Baada ya kufanya hivyo tutakua tumetengeneza space tyre ya mbele ya kushoto ambayo ni danger zone 1.
Sasa basi baada yakupata space tyre ya mbele tutaongiza Kona ya kushoto Kisha tutarudi nyuma ambapo tutakua tumetengeneza space ya kutosha kwa tyre ya mbele.
Mkuu sina trip sasa hivi. Trip zote zipo rejected ma junior wamezichukua. Safari zipo nyingi ila sasa dah nafasi hazipo za kutoka.. labda niamue mwenyewe na mpunga nitoe wangu mwenyewe hapo ndio panakana sitopata ubavu wa kwenda bambalaga 🥸🥸Mimi ya kwangu wiki ijayo mapema. Dar Dodoma Babati Bashnet
Hiyo RS7-R ni balaa
nimeona kuna moja wameiongezea imefikia hadi 1000HP++Hiyo RS7-R ni balaa
Hii hapa RS6 inacheua 1000HPHiyo RS7-R ni balaa
Nina ID's 2 humu. Ukute Ile ID nyengine tushachatishana hadi inbobo huko [emoji23]Hahaha aisee.. Umetishaa
Afu ID yako naisomaga kama Premio [emoji23]
Two Id's for which purpose? Utakuja jichanganya siku upate tu aibu 😂Nina ID's 2 humu. Ukute Ile ID nyengine tushachatishana hadi inbobo huko [emoji23]
Hii R8 V10 alikuaga nayo yule CEO wa JPmarket.
Baharia alichochora, lazima ajilaumu... Ko mtongozo haukufua dafu [emoji81][emoji81][emoji81]Two Id's for which purpose? Utakuja jichanganya siku upate tu aibu [emoji23]
Kuna mtu anazo mbili nilikuja kumshtukia baada ya kula mtong.o.z.o kwenye zote na picha akashare ile ile nikamchana akanambia nivunge like nothing happened.
Ulikufia pale pale... Hebu ninong'oneze hiyo ya pili 😎Baharia alichochora, lazima ajilaumu... Ko mtongozo haukufua dafu [emoji81][emoji81][emoji81]
Chilita unaonekana shilawadu sana wewe, usije kunisagia kunguni [emoji81][emoji81][emoji81]Ulikufia pale pale... Hebu ninong'oneze hiyo ya pili [emoji41]
Ndio mimi hapa 😎😎Hii R8 V10 alikuaga nayo yule CEO wa JPmarket.
Wallaqh sitofanya la kukuvunja moyo 😂 nitonye plsChilita unaonekana shilawadu sana wewe, usije kunisagia kunguni [emoji81][emoji81][emoji81]
Umerudi salama?Leo usiku katrip kafupi tu .. Town to Monduli [emoji41]
Nialike na mimi mkuu