Pole sana boss.Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran
Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa
Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Shukran Tulibadilishana namba mkuu na akirudi dar tumepanga kukutanaPole sana boss.
Huyo jamaa amekuokoa parefu sana.
Ungechukua namba mkale mbuzi siku ingine.
Mungu mkubwa kaka, watu wema bado wapo duniani!Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran
Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa
Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Kwa mkasa huu, kwa crown, sipati picha ingekuwaje...Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran
Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa
Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Ha ha! Enzi ukiwa a youngin, gari wese kidebe, wallet lipo peru, simu salio majanga, lakini hamu ya starehe na kukesha hadi six in the morning ndiyo mpango!Gari ina full tank,kwenye wallet bundle ya maana,simu ina salio la kutosha ila weekend saa nne nawahi home sina hamu ya starehe!
Pole sana ila bolt siku ingine toa moja kila tairi funga zinapokosekana, ikipungua moja sio issue.Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran
Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa
Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Mishikaki ya hapo sio ya nchi hii! Sasa ukitaka kuona ndinga mji huu kaa hapo.RRONDO hapa unapafahamu.. Trip za town anae jua code View attachment 1907753
Duh poleni, na hongera kwa jamaa kuweza kujali wengine.Over the weekend trip to Arusha almanusura nifariki asee tulikua tunasafiri usiku kutoka Daslamu kuelekea Arusha via Crown Athlete ndani ya gar tulikua wawili Mimi na Wife t be kwa vile ni usiku alikua anafumuka kuanzia 100 hadi 150 yaan hata hausomi vibao vya barabaran
Wakat anaendelea kufumuka muda huo MI nasinzia mida ya kama saa 9 ikaja kutu overtake Subaru kwa kasi sana then ikaenda kupark katikati ya barabara basi nikaamshwa wakat tunakaribia tukapark gari then nikatoka Mimi nikamuacha wife t be ndan nikawa najiuliza ni mwizi au shida ni nini akashuka Brother flan na yeye alikua anasafir na family yake bas akasalimia akanambia Bolt ya rim imetoka imeenda kupiga kwenye kioo chake Cha mbele hadi imeweka ufa
Akahisi kwa spidi tulikua tunatembea hatuwez kujua kinachoendelea hivyo tuangalie tairi zetu asee ile kuchek nikaona dalili sooner or later tulikua tunaelekea kufa maana tairi ilikua imeshikiliwa na bolt moja tu hadi Ina nesanesa bas akanisaidia kuzitafuta bolt tukapata moja tu akanisaidia tukakaza rim pale na kuniambia kwamba mbili tu zitanifikisha salama ninapoenda kuhusu kioo akanambia nisijali ataenda kueka hata sticker uhai wangu ni muhimu Kuliko pesa so Sina haja ya kutoa pesa yoyote nilimshukuru sana maana bila ya wema wake sijui tungekua marehemu au vilema May Almighty bless you and your family wherever you are
Aisee ! Inaonekana maeneo yako haya.. nilikuwa nachapa mishkaki kidogo hapo kwanza tuendelee na mchaka mchakaMishikaki ya hapo sio ya nchi hii! Sasa ukitaka kuona ndinga mji huu kaa hapo.
cc Saint Anne
tupo sana yaani mkuu 😎😎Mungu mkubwa kaka, watu wema bado wapo duniani!
Hiyo inatokea sana ..unaenda fanya service gari..mafundi wanafungua vitu hawarudishi vizuri ndo madhara yake..kama unaweza service fanya siku kadhaa kabla ya safari..siyo unafanya service hadi usiku ili kesho udamsheKwa mkasa huu, kwa crown, sipati picha ingekuwaje...
Pole sana mkuu
Haraka mbaya sana. Juzi juzi hapa nimecheki coolant imepungua nikaongeza kidogo. Nikakurupuka nikaondoka kumbe sijafungua mfuniko uko juu ya engine top cover. Nimeendesha hadi petrol station almost 15km naweka mafuta mara taa nyekundu STOP CHECK COOLANT imewaka. Nikapaki pembeni kufungua bonnet expansion tank iko wazi kifuniko kiko juu ya engine!Hiyo inatokea sana ..unaenda fanta service gari..mafundi wanafungua vituz hawarudishi vizuri ndo madhara yake..kama unaweza service fanta siku kadhaa kabla ya safari..siyo unafanya service hadi usiku ili kesho udamshe
Ni noma..unamwambia fundi acheki breakpads anacheki..kurudishia tairi anawapa vijana...haraka haraka nati wanaegesha tu..wewe kesho unanza ligi road lazima yakukute..au wanapuliza air filter alaf hawarudishi vzuri u unategemea nnHaraka mbaya sana. Juzi juzi hapa nimecheki coolant imepungua nikaongeza kidogo. Nikakurupuka nikaondoka kumbe sijafungua mfuniko uko juu ya engine top cover. Nimeendesha hadi petrol station almost 15km naweka mafuta mara taa nyekundu STOP CHECK COOLANT imewaka. Nikapaki pembeni kufungua bonnet expansion tank iko wazi kifuniko kiko juu ya engine!
Ikabidi ninunue maji ya Kilimanjaro niongeze,zilienda Lita 3 ila hakukuwa na madhara mengine yoyote.
😌tupo sana yaani mkuu 😎😎
Wazo murua kbs!Pole sana ila bolt siku ingine toa moja kila tairi funga zinapokosekana, ikipungua moja sio issue.
Mkuu siku hizi nimekuwa boss kitambe meneja, safari zimekuwa nadra sana, ila safari za town nazipiga kweli kweli Tume waachia ma junior 😁😎 ila jumamosi nina safari naenda Tabora hadi kahama alafu narudi Dar . mwenye abiria.. condition pisi kali mguu ya bialeee 😎Holy Man ISO M.CodD trip zimekata?
Mahesabu murua kabisaaa..Pole sana ila bolt siku ingine toa moja kila tairi funga zinapokosekana, ikipungua moja sio issue.