Nguvu ya soko itawafanya washushe tu, watake wasitake, la sivyo kadri muda unavyokwenda depreciation ya gari sokoni itazidi kudorora zaidi na zaidi na gari haitauzika kabisa!
Soko lina nguvu ya ajabu mnoo kuamua bei ya bidhaa.
Wajifunze kwenye majuto ya kiburi cha Magu kwenye sakata la ununuzi wa Korosho, hadi Jeshi lilisalimu amri mbele ya soko.
Na wale wanao uza Toyota Corolla 100/110. Kwa million 4 mpaka 3. Tunasubiri namba E ifike tuweke dau la laki 8 kisha nazuga kama naondoka kumbe nasubiri jibu la muuzaji.