Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

Inawezekana kabisa.

Tena kwa mtu anaemaliza 180, anatakiwa atumie 90 minutes.

Mi nilitumia almost 1 hr same to mombo na nilikuwa arround 140 constant. Na same to himo ni pafupi zaidi.
 
Kwenye Kona Tena unaovertake!!!! Kweli mizuka ikipanda hata nguo mtu anavua ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ila mkuu mimi napenda ligi sanaa wiki tatu zilizopita natoka kahama nakuja dom ikatokea D4D ikanipita kwa mwendo wa roket nikajisemea huyu lazima nile nae sahani moja nikaanza kumtafuta hapo nipo na primio F fukuza sana mara huyu hapa nipo 170 kph nikampita akaanza yeye kunitafuta sasa hapo nisaa mbili usiku nilitembea mpk nikamaliza sahani jamaa nampoteza mdogo mdogo mpk nafika singida naongeza wese ndio kanipita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ