Hahaha yaani mimi sijui nikoje. Kila siku iitwapo leo huwa nina hamu ya kusafiri.
Hivyo nikisema niziendekeze hamu zangu za kusafiri itanibidi nifanye kazi/biashara ambayo itanilazimu kusafiri kila siku. Sijawahi kuchoshwa na safari and infact nikikaa mkoa mmoja zaidi ya wiki bila kubadili mazingira huwa najihisi kuumwaumwa tu bila sababu yaani.