Ni kweli kabisa Vimiji na Vijiji vingewekwa mbali kabisa na Barabara kuu, maana vimezidi, kuna sehemu kati ya Magubike na mteremko wa Dumila kuna 50 ya wauaza mkaa, pia nimeikuta kati ya mizani ya Mikese na Mdaula na Traffic na tochi zao wapo nikawagawia buku 5 ya rangi, eti wananiambia kuna kambi ya watu wa mkaa.Barabara inajengwa porini halafu out of nowhere unakuta kamji kamezuka hapo katikati.
Nadhani iwekwe sheria ya kusogeza vijiji mbali na hizi highway.
Kuweka matuta ni ushamba mkubwa sana.
Kiongozi,uwe na safari njema,bila kusahau kututupia picha japo nasi tuwe tunasafiri kwa kutumia lugha ya pichaLeo naenda kutembea Upareni.
Sehemu inaitwa Usangi.
😁 😁 😁 😁 It's very strange kwa kweli.Kama safari yangu natarajia kuendesha hata 20km to drink alcohol na kurudi nategemea itakuwa usiku kidogo,huwa na avoid kuendesha gari peke yangu kuepuka usingizi pengine wa ghafla au mengineyo.Story zinaepusha mengi,Ingawa still naamini tumeumbwa tofauti na kila mtu ana style yake ya kuji manage.Strange
Nasikiaga ingawa sina ushahid kwamba hawa mbuzi nao ni watu 😁 😁 😁 ,Ingawa huwa wamenona na hawalalagi zizini lakin hakuna kibaka huwa anagusa na huwa wanaambizana hiyo siyo mali kabisa.Kwahio hawa mbuzi wanawazidi akili watu wengi wa Dar?!!
Hawa wanajichunga wenyewe, washakuwa kama wakazi nao.Nasikiaga ingawa sina ushahid kwamba hawa mbuzi nao ni watu 😁 😁 😁 ,Ingawa huwa wamenona na hawalalagi zizini lakin hakuna kibaka huwa anagusa na huwa wanaambizana hiyo siyo mali kabisa.
😀😀😀 masharti ya mganga sio!!Mie nimezoe, watu hadi wananitaniaga kama gari ya dawa, nadra kunikuta na mtu kwenye gari..
Hapana huwa na enjoy sana kuwa mwenyewe yaani.. tena kama safari ndefu raha sana kuwa mwenyewe😀😀😀 masharti ya mganga sio!!
Haloooo! viatu vya 20'000 tu shida ukiacha nje hukuti,lakini mbuzi wa 300'000 analala nje for years. 😁 😁 😁Hawa wanajichunga wenyewe, washakuwa kama wakazi nao.
Abiria anasaidia sana,safari inakuwa fupi. Akiwa dereva ndio raha anakuwa navigator wako. Kuna bend fulani yeye ndio anaona mbali wewe huoni hapo anakwambia pita. Kingine hata ukijisahau moto ukiwa mkali anakwambia punguza kidogo.😁 😁 😁 😁 It's very strange kwa kweli.Kama safari yangu natarajia kuendesha hata 20km to drink alcohol na kurudi nategemea itakuwa usiku kidogo,huwa na avoid kuendesha gari peke yangu kuepuka usingizi pengine wa ghafla au mengineyo.Story zinaepusha mengi,Ingawa still naamini tumeumbwa tofauti na kila mtu ana style yake ya kuji manage.
Usinziagi?Hapana huwa na enjoy sana kuwa mwenyewe yaani.. tena kama safari ndefu raha sana kuwa mwenyewe
Exactly.Abiria na yeye anakuwa na interest ya kuona mnaendelea kuishi na kufika mkiwa salama hvyo hatokubali muangamie.Abiria anasaidia sana,safari inakuwa fupi. Akiwa dereva ndio raha anakuwa navigator wako. Kuna bend fulani yeye ndio anaona mbali wewe huoni hapo anakwambia pita. Kingine hata ukijisahau moto ukiwa mkali anakwambia punguza kidogo.
Hapana sizinziagi hata kidogo.. na kwa kuchukua taadhari huwa napiga Espresso ile strong , napiga redbull kavu kavu na ingine na changanya kwenye maji ya lita 1.5 hata mawili au matatu.. hapo hakuna usingizi hata kiduchu unao jipendeza na huwa nazima kabisa mziki kwenye gari ili niwe na focus ya hali ya juu.. na mwiko kufungua dirisha sijui kupugwa upepoUsinziagi?
Binafsi naamini madereva wengi kama siyo wote kuna point huwa wanasinziaga bila kujua! Huwa naamini kufika salama si Nguvu yangu mwenyewe bali Mungu.Nilishawahi park gari nyumbani alafu nikajiuliza mahali fulani nilipitaje pitaje na kona yote ile bila changamoto sababu sikumbuki chochote.Usinziagi?
Kutumia viongeza energy safarini siyo advisable kabisa.Ina weza kukuweka kwenye risk ya deadly accidents and then you are gone.Hapana sizinziagi hata kidogo.. na kwa kuchukua taadhari huwa napiga Espresso ile strong , napiga redbull kavu kavu na ingine na changanya kwenye maji ya lita 1.5 hata mawili au matatu.. hapo hakuna usingizi hata kiduchu unao jipendeza na huwa nazima kabisa mziki kwenye gari ili niwe na focus ya hali ya juu.. na mwiko kufungua dirisha sijui kupugwa upepo
Lone wolf....Mimi sasa muziki siwezi kuzima kwasababu najua ikipita tracks 20 nishapiga umbali mrefu sana!Hapana sizinziagi hata kidogo.. na kwa kuchukua taadhari huwa napiga Espresso ile strong , napiga redbull kavu kavu na ingine na changanya kwenye maji ya lita 1.5 hata mawili au matatu.. hapo hakuna usingizi hata kiduchu unao jipendeza na huwa nazima kabisa mziki kwenye gari ili niwe na focus ya hali ya juu.. na mwiko kufungua dirisha sijui kupugwa upepo
Kivipi dadavua ?Kutumia viongeza energy safarini siyo advisable kabisa.Ina weza kukuweka kwenye risk ya deadly accidents and then you are gone.