Manufacturer wa vyombo vya moto wameweka variation ya speed kwenye speedometer wakijua kabisa hauta endesha kwa constant speed!!
Yaani umeilalamikia 50km/h kana kwamba barabara yote mwanzo mpaka mwisho wa safari yako huruhusiwi kuzidi speed hiyo.
Hebu taja maeneo ambayo unahisi zone ya 50km/h imewekwa kimakosa..