Wazee wa Netflix!!

Jamaa muongo wewe, sio rahisi kiasi hicho. Lazima watakuomba tu kadi yako ya benki ili upewe 1 month free
mkuu netflix mod sio netflix, mara nyingi ni app kama cinemahd wanazi rebrand tu.

ukitaka kuamini angalia ulaji wa bundle.
Nilikuwa natumia POCKET TV ku-download movies na tv shows. Ila since nimei-update imeanza sumbua! Kuna app nyingine ambayo unaijua, ambayo nitaweza download movies na tv shows!?
 
unaweza angalia online?

siku hizi hata cinema hd haikubali kudownload lakini unaweza kucopy link na kudownload na external downloader kama ADM

kama unaweza kuangalia online na ina option ya kucopy link ama kushare hio link download adm playstore kisha ukitaka kudownload share tu hio streaming link na adm.
 
Shukraan!
 
Jamaa muongo wewe, sio rahisi kiasi hicho. Lazima watakuomba tu kadi yako ya benki ili upewe 1 month free
Unabisha mkuu, hivi unajua maana ya kitu kilichokua modded? Halafu usipende kubisha kabla hujajaribu
 
.View attachment 1622133View attachment 1622134View attachment 1622135
Screenshot_2020-11-08-14-48-20-174_com.battlenet.showguide.jpg
 
Kama Chief-Mkwawa alivyosema. Hii sio Netflix, ni app tu inayo pull data kutoka server tofaut tofaut ambazo zinakuaga na website yake yenyew. Kma ClipWatch, streamtape, etc. Wana rebrand tu kuwa ni Netflix. Ukisema modded Netflix unamaanisha ni ile official Netflix app ambayo imekua modded ku bypass security yao.

Na hichi kitu ni impossible kabisa sikuhz kwa streaming app. Zina kitu kinaitwa DRM (ndio maana huwezi hata screenshot ukiwa Netflix or Amazon Video) na pia zinahakikisha CTS and Safetynet integrity na kuiverify na server zao. Ndo maana huwezi kuta legitimate Netflix app iliyokua modded hata siku moja.
Screenshot_20201108-170423_Netflix%20by%20APKMODY.jpg
 
Kama Chief-Mkwawa alivyosema. Hii sio Netflix, ni app tu inayo pull data kutoka server tofaut tofaut ambazo zinakuaga na website yake yenyew. Kma ClipWatch, streamtape, etc. Wana rebrand tu kuwa ni Netflix. Ukisema modded Netflix unamaanisha ni ile official Netflix app ambayo imekua modded ku bypass security yao.

Na hichi kitu ni impossible kabisa sikuhz kwa streaming app. Zina kitu kinaitwa DRM (ndio maana huwezi hata screenshot ukiwa Netflix or Amazon Video) na pia zinahakikisha CTS and Safetynet integrity na kuiverify na server zao. Ndo maana huwezi kuta legitimate Netflix app iliyokua modded hata siku moja.View attachment 1622200
Nimekuelewa mkuu
 
Mkuu niko nnje ya mada hii samsung gani unayotumia
 
Nikuhulize swali lengine dogo hapo mi piah natumia A50 nikiwasha data uwa inatokea 4g,sio kama wewe hapo inatokea LTE sababu ni nini
Firmaware na CSC code ziantofautiana. Baadh ya firmware na regions wanatumia icon ya LTE baadala ya 4G. Kma yangu ni XEO/XEF. Ina maanisha simu yangu ina firmware ya Poland (XEO) na origin or target market yake ni France (XEF). Yako inasemaje kwenye Software information kule chini kabisa kwenye Service Provider software ver.
Screenshot_20201108-194143_Settings.jpg
 
Back
Top Bottom