Andindilile
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 289
- 145
Baada ya hapo waigeuze mikorosho izae korosho za dhahabu....
hii akili yako inafaa kwenye kombolela tu;chukua hatua.Habari ninazozipata ni kuwa Wazee wa Mkoani Mtwara wanajipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa Serikali inapata hasara ya Matrilioni kwa kuigeuza Gesi yote ipatikanayo mkoani mtwara kuwa Maji na hivyo kuharibu malengo ya Serikali kuisafirisha.Nasubiria hii sinema iendelee
Habari ninazozipata ni kuwa Wazee wa Mkoani Mtwara wanajipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa Serikali inapata hasara ya Matrilioni kwa kuigeuza Gesi yote ipatikanayo mkoani mtwara kuwa Maji na hivyo kuharibu malengo ya Serikali kuisafirisha.Nasubiria hii sinema iendelee
Tatizo la Watanzania huwa hatupendi kuelezana ukweli. Tunapenda kuambiwa mambo ya kufurahisha, hizi akili za kina BIGI SHOO sijui BIGI JII na Sizinga.
Palikuwa na juha mmoja miaka ya nyuma akienda kwa jina la Kinjeketile Ngwale. Huyu naye alikuwa na akili kama hizi za kijinga akawaponza wenzake wakafa kipuuzi.
Sasa huu ujinga gani umeleta hapa jukwaani? Na kama wana akili hizo kweli basi mtakubaliana na mimi kwamba inahitaji watu watoke nje ya Mtwara kuja kuiendeleza Mtwara na sio wenyeji. Akili za kijinga kabisa
Siku uchawi ukikufika wewe binafsi utajifunza adabu tu.Take my words
Tehe tehe tehe!
Una akili ndogo kwa kadiri ya mahitaji yako. Mungu niliyenaye hana urafiki na shetani unayemwabudu. Take my words
Nasikia eti kaenda kusikojulikana na gas haionekani. Pia wanajeshi walioko msimbati eti wanachapwa viboko ila hawawaoni ni nani anayewachapa na pia eti kuna nyoka wanaowakimbiza pia... Siwezi thibitisha au kujua ukweli wa haya ila watu naowafahamu wanaoishi mtwara wameniambia haya...Hivi yule bibi aliyeanzisha hiyo mambo ya kugeuza gas kuwa maji aliishia wapi?