Wazee wa mikeka, uliwahi kushinda kiasi gani kikubwa cha pesa?

chai ya rangi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
130
Reaction score
404
Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,

Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...

Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.

Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
 
Huu mkeka wa leo na kesho uefa champions league ukichanika nina billion mbili na nusu tzs 1m euros, stake ya 20 euros tu maamae.

Screenshot_20260310_120216_Chrome.jpg
Screenshot_20260310_120248_Chrome.jpg

Pdidy hydroxo

adriz de mbusii
 
Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo,

Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa...

Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu.

Kilichonisaidia ni consistency na discpline maana yake nisingekua na discpline nilivopata 6M ningeishia hapo bila kufika 700+M japo kunawatu watasema nilifanya ujinga kwa jicho la kawaida.
addiction is real sio uchawi 🤣
 
Back
Top Bottom