hapo ikitokea kabang hapo hilo tanker hapo lazima li explode na kuwakaanga abiria wote wanaocheza na maisha yao kwa kukaa kimya huku maisha yao yakiwa hatarini
Kuna mashine moja ya Happy Nation nyuma imeandikwa "Voice of Manka". Hicho ni kisu, mwisho wa maneno. Sijajua hiyo scania engine yake ilifanywa nini. Hiyo ndo kiboko ya gari zote za Mbeya, iringa na Songea.
hapa yu tong ni NEW FORCE. imepitwa NGANGA nayo itaachwa. TWIGA siku hizi amefulia ana basi moja safari si kila siku. sasa hivi ABOOD anaongoza iliyokuwa inaenda Tunduma sasa imepelekwa Mbeya kukazia ligi namba zake ni 297 ATH. then linafuata TWIGA ndo HAPPY. na NGANGA. YUTONG haziwezi ligi na SCANIA hasa kwa MARCOPOLO
Happy nation ana bus moja inaenda mwanza mwisho wa reli hamna cha yutong wala nn!!inakupita uko kwenye SUV kama unatembea kwa miguu vile!!niliogopa sana
Sawa ila ukisikia puupaaa,uuuuwiiii,maamaaa,Mungu wangu,Yesuuu...abiria tunakimbilia kusema walikuwa katika mwendo mkali...na maneno mbovumbovu ingine...aaakha!