Tatizo la wasomi wa kibongo wamejaa pride, kujishusha kwao mwiko.Uzi umenigusa sana huu! Nilikuwa mzuri class ila nilipofika chuo mambo yakawa magumu nikafeli, sikukata tamaa washkaji kwa mbaali mawasiliano yakapungua nikawaachia wasomi wenyewe wasome mi nikaingia kitaa kubangaiza nilikuwa nilifanya kazi ngumu balaa nalipwa buku 3 nauli, msosi imeisha mara nikahama nikaajiriwa sehemu mshahara kidunyuu, sikukata tamaa sasa hivi sio yule tena wasomi wangu wale kama nawaona vileee! Nimegundua kubadili Elimu kuwa pesa hapa Bongo lazima U-risk.
Mwezi na zaidi tayari bossbaada ya mwezi narudi kutoa ripoti hapa'
mm ni mwl kwa siku nalipwa elf 11.
elimu degree'
kazin miaka 15 sasa.
ulikuwa unapiga michongo gani kitaaUzi umenigusa sana huu! Nilikuwa mzuri class ila nilipofika chuo mambo yakawa magumu nikafeli, sikukata tamaa washkaji kwa mbaali mawasiliano yakapungua nikawaachia wasomi wenyewe wasome mi nikaingia kitaa kubangaiza nilikuwa nilifanya kazi ngumu balaa nalipwa buku 3 nauli, msosi imeisha mara nikahama nikaajiriwa sehemu mshahara kidunyuu, sikukata tamaa sasa hivi sio yule tena wasomi wangu wale kama nawaona vileee! Nimegundua kubadili Elimu kuwa pesa hapa Bongo lazima U-risk.
ulipiga michongo kitaaNiliacha kazi serikalini mwaka 2016 baada ya kudumu kwa miaka 4,,wengi walinishangaa hadi baadhi ya ndugu wakajua nimelogwa ila niliamua mwenyewe,,nikajikita kwenye biashara hapa ninapoandika wale walionioinga wengi wao ndo wananiomba misaada,,nilokuwa nafanya nao kazi wengi wananiomba njia za kupita nao waache....
NAJIVUNIA NILIPO
Nimejikita kwenye biashara kama ilivo asili yetu wachaga,,,ulikuwa unapiga michongo gani kitaa
Hujasimulia uliweza vipi kubadili elimu kuwa pesaUzi umenigusa sana huu! Nilikuwa mzuri class ila nilipofika chuo mambo yakawa magumu nikafeli, sikukata tamaa washkaji kwa mbaali mawasiliano yakapungua nikawaachia wasomi wenyewe wasome mi nikaingia kitaa kubangaiza nilikuwa nilifanya kazi ngumu balaa nalipwa buku 3 nauli, msosi imeisha mara nikahama nikaajiriwa sehemu mshahara kidunyuu, sikukata tamaa sasa hivi sio yule tena wasomi wangu wale kama nawaona vileee! Nimegundua kubadili Elimu kuwa pesa hapa Bongo lazima U-risk.