Wazee Wa Kubet huu mpambano ndani ya CCM tunaweka wapi mzigo

A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
1,710
2,000
Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap au tuweke Most goals second half pia nikitazama sioni draw hapa
 
SteveMollel

SteveMollel

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
5,224
2,000
Both teams to score hapa..
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
25,426
2,000
Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap au tuweke Most goals second half pia nikitazama sioni draw hapa
Hapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.

Au pia twaweza kuweka HT/FT > 2/1, Yaan first half washinde kina Nape sababu ndo wanaotrend kwa sasa na audio zao kisha second half waje washinde kina Jiwe sababu wao ndo wenye kisu 2020.
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,027
2,000
Mwenye kisu ndio anakula nyama, Chato imeisha shinda.
 
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Jun 26, 2019
4,157
2,000
Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha
Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap au tuweke Most goals second half pia nikitazama sioni draw hapa
Both teams to score second half & no substitute player to score
 
A

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
1,710
2,000
Hapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.

Au pia twaweza kuweka HT/FT > 2/1, Yaan first half washinde kina Nape sababu ndo wanaotrend kwa sasa na audio zao kisha second half waje washinde kina Jiwe sababu wao ndo wenye kisu 2020.
HII BILA SHAKS INA ODDS ZA KUSHIBA
 
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
1,974
2,000
Hapa tuweke Both Teams to Score Both Halves (GGGG). Sababu kila upande uko active sasa na 2020 pia.

Au pia twaweza kuweka HT/FT > 2/1, Yaan first half washinde kina Nape sababu ndo wanaotrend kwa sasa na audio zao kisha second half waje washinde kina Jiwe sababu wao ndo wenye kisu 2020.
asante mkuu umejibu kitaalamu sanaaa...
 
Top Bottom