Wazee wa interior design, msaada

Nrangoo

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,457
2,000
Subiri wanakuja mkuu. ila nadhani rangi unayopiga ndani pamoja na taa ina matter sana kukuletea matokeo ya aina hiyo
 

luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,172
2,000
Kuna kitu unaficha ukiwa na mapenzi wako asione, unacho mwilini mwako. Dah ila kina watu ni wataalamu wa kuficha aisee nyie acheni tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
May 11, 2013
84
125
Kama huhitaji kutumia gharama kubwa tip ni moja nyepesi, paka rangi nyeusi kwenye dari (ceiling) na mapazia ya yawe rangi nzito nzito. Utapata matokeo kama unavyotaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom