Wazee wa games tujuzane games gani nzuri umewahi kucheza

Wakuu october nataka ninunue PC ya uhakika prior to graphics design and games budget 700,000 hadi 800’000 kwa anaeweza nisaidia PC gani itakua mzuri yenye specifications zipi?
 
habari za saizi wakuu
hapa nazungumzia games za pc ps xbox kuna games nyiingi saana na kali kiupande wangu game nilizowahi kucheza na ninzuri kwa mpira ni
1.fifa19
2. pes2020
za kivita
1.call of duty morden warfare zoote
2.call of duty ghost
3.protype
4.sniper elite
5.far cry zootee
6.god of war zoote
7.tomb rider zooote
8.GTA san andreas best game all time
9.GTA5
10.Mafia 11.watch dog zoote 12.assasin creed zoote 13.sleepngdog
zombie games nimecheza moja tu
evil withn
fighting games
1.mortal kombat x na mortal kombat 11 limeshatoka nipo kulidownload
2.injustices 1&2
3.tekken7
Racing games
1. need for speed most wanted
2.need for speed the run
3.need for speed playback
mi hizo na nyengine nimezisahau kwa upande wako game gani kali umewahi kucheza?
Nasisi tunao tumia Android tuna coment wapi?
 
Wakuu october nataka ninunue PC ya uhakika prior to graphics design and games budget 700,000 hadi 800’000 kwa anaeweza nisaidia PC gani itakua mzuri yenye specifications zipi?
mzee mi pc yangu nilinunua300k na kuighalamia kila kitu jumla500k na kila game kali nacheza
 
Napenda sana magem..ila sijui nayapatia wapi..na je lazima uwe na hizo ps3 au inakuaje...nielewesheni ili na mimi ni enjoy ulimwengu wa gamers
 
Magame makali sana Forza Horizon na kuna lingine hili linakuja October Midnight Club 5 aisee..kama unapenda magari humo utafurahii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom