Wazee wa games tujuzane games gani nzuri umewahi kucheza

Iglesias

JF-Expert Member
May 29, 2017
403
500
Napenda sana magem..ila sijui nayapatia wapi..na je lazima uwe na hizo ps3 au inakuaje...nielewesheni ili na mimi ni enjoy ulimwengu wa gamers
Una pc na ipo specs nzuri? Nitaute ntakupa gamez kama 7 hivi za kibabe.

Fifa 19.
Battlefield 3%4
Need for speed the Run
Call of Duty modern warfare 2, 3 nliifutafa.
Far Cry 3
n.k
 

juan david

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
1,198
2,000
Una pc na ipo specs nzuri? Nitaute ntakupa gamez kama 7 hivi za kibabe.

Fifa 19.
Battlefield 3%4
Need for speed the Run
Call of Duty modern warfare 2, 3 nliifutafa.
Far Cry 3
n.k
Mkuu me ninayo
Toshiba core i5 gen ya 3
Proceasor ya 2.6
Ram 4gb
Hdd 500
Hembu nitajie magem mazur ya mission nidownload ambayo yatacheza vizuri
 

RReigns

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
17,046
2,000
Lipo complete mkuu kila kitu ila linataka card gb2 na ram gb8au6
Bado halijakrakiwa mkuu unapoteza muda.
Labda ulishushe then uliache usubiri crack itoke.
Hata hilo la kwanza ulilosema liligoma, liligoma kwa sababu ya crack huenda
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom