chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Wakuu leoo tukumbushane kuhusu movie za nje ambazo baadhi huwa inspire watazamaji na nyingne n real dramaa..
Mimi naanza na Escape from sorbibor.......kuna Missing in action...... Kuna First blood zte n kalii.....
Tupia na wewe ya kwkoo kwa kuukumbuka ulimwengu wa filamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naanza na Escape from sorbibor.......kuna Missing in action...... Kuna First blood zte n kalii.....
Tupia na wewe ya kwkoo kwa kuukumbuka ulimwengu wa filamu.
Sent using Jamii Forums mobile app