Wazee wa East Africa Community wamelipwa madai yao?

Babu Original

Member
Jun 29, 2012
31
3
Wametulia sasa, ama uzee, wametulizwa, au ndo walishapelekwa kule wapi.... kwa wadai haki... alikopelekwa Dr. Ulimboka?
 
Usitarajie kwa jei kei,imekula kwao jeikei kamaliza fwedha zote hazina,kamaliza hela zote za mifuko ya kijamii,sirikali mufirisi.
 
Kama kweli haki ya mtu haipotei je, huyu JIKE na maswahiba wake watakuwa na immunity ya aina gani ili wasiburuzwe korti
 
Back
Top Bottom