Wazee wa EAC Wanatia huruma...

Wazee wa EAC Wanatia huruma...

masikini wazee wananyanyasika kweli kweli,hao wanaotaka kuwadhulumu watapata laana...

Hao walishadhulumiwa walipoachishwa kazi tu. Jiulize na nani? na kwanini hajawalipa? ukipata jibu utajuwa laana ni ya nani.
 
Mimi siwaelewi watu humu jamvini, leo mnaona sehemu ya Lake Nyasa kuchukuliwa na Malawi haiwezekani, hawa wazee fedha yao ilitumika kuikomboa Kagera iliyochukuliwa na Nduli Iddi Amini.Kwa mfano leo hii tukiambiwa pesa yetu ya PPF,NSSF itatumike kwenye kulinda mipaka ya nchi yetu mtakataa? acheni unafiki!!! Amani hii ina gharama kubwa.
 
Cha maana unachokiri ni kuwa fedha zina wenyewe (wanachama/wachangiaji), ila serikali dhalimu inaamua kuzitumia bila kuwarudishia wenye fedha zao. PPF na NSSF ni mfano mzuri, pesa za wanachama zimejenga chuo kikuu cha DOM, kuna daraja la Kigamboni na kutumika na CCM kwenye chaguzi. Hizo pesa zitaingia kwenye fedheha zile zile za EAC, kama bunge hovyo lilivyo amua kuhusu sheria ya mafao. Serikali haina sababu ya kugharimia makosa yake ya kimaamuzi.
 
Hao walishadhulumiwa walipoachishwa kazi tu. Jiulize na nani? na kwanini hajawalipa? ukipata jibu utajuwa laana ni ya nani.
zomba huna hata huruma na hawa wazee?
 
Last edited by a moderator:
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Fedha za wastaafu wa EAC zilipwe na malkia! Kama hujui jambo si unauliza tu? EAC ilikuwa na pension fund yake, unajua mgawanyo wa mali na madeni ya jumuiya hiyo ulifanyika lini?
 
Hivi hii laana Kikwete ataiweka wapi!
2.JPG

Hivi wote ni Waislamu au wameungana kuomba dua
 
Kwani Nyerere alipokabidhiwa madaraka aliikuta hii nchi haina amani? au alikuta kuna vita? au madaraka yalipatikana kwa kumwaga damu? Fikiri!

aliunganisha makabila ambayo nyie hamtaki hiko kitu plus mnatumia udini ili ku cling kwenye power na kupata nafasi ya kujaza account zenu uswisi...wala usibishe sababu kabila sasa hivi mnalolichukia ni wachaga na sijui kwa nini msifunge tu ofisi zenu huko kilimanjaro
 
zomba huna hata huruma na hawa wazee?

Nna huruma sana na hawa wazee, na baadhi yao nawajuwa personal nimeishi nao Kariakoo miaka nenda miaka rudi cha kujiuliza ni kwanini aliyewaachisha kazi hajawalipa?
 
aliunganisha makabila ambayo nyie hamtaki hiko kitu plus mnatumia udini ili ku cling kwenye power na kupata nafasi ya kujaza account zenu uswisi...wala usibishe sababu kabila sasa hivi mnalolichukia ni wachaga na sijui kwa nini msifunge tu ofisi zenu huko kilimanjaro

Nyerere alipokuja dar aliwakuta kabila gani hapa na kina nani waliomkaribisha? alikuta kuna ugomvi wa makabila?
 
Nna huruma sana na hawa wazee, na baadhi yao nawajuwa personal nimeishi nao Kariakoo miaka nenda miaka rudi cha kujiuliza ni kwanini aliyewaachisha kazi hajawalipa?

Kwani walitakiwa kulipwa na nani zomba?
 
Last edited by a moderator:
Nyerere alipokuja dar aliwakuta kabila gani hapa na kina nani waliomkaribisha? alikuta kuna ugomvi wa makabila?

Hii imekujaje kwenye malipo ya hao wazee masikini wasiojiweza?
 
Hii imekujaje kwenye malipo ya hao wazee masikini wasiojiweza?

Ilikuwa inajibu hii:
quote_icon.png
By sabasita
aliunganisha makabila ambayo nyie hamtaki hiko kitu plus mnatumia udini ili ku cling kwenye power na kupata nafasi ya kujaza account zenu uswisi...wala usibishe sababu kabila sasa hivi mnalolichukia ni wachaga na sijui kwa nini msifunge tu ofisi zenu huko kilimanjaro

Hukuona post iliyojibiwa umeona majibu tu?
 
Haya nimeona.......fanyeni hao wazee walipwe bana.....wanatia huruma sana jamani!

Kama ni huruma tu, hata wewe unaweza kwenda kuwalipa. Swali, kwanini Nyerere hakuwalipa katika uhai wake?
 
Fedha za wastaafu wa EAC zilipwe na malkia! Kama hujui jambo si unauliza tu? EAC ilikuwa na pension fund yake, unajua mgawanyo wa mali na madeni ya jumuiya hiyo ulifanyika lini?

Naona unahaha na hujui ulisemalo, soma hii document ya bunge la Kenya uelewe yaliojiri:

NATIONAL ASSEMBLY
OFFICIAL REPORT
Wednesday, 5th August, 2009
The House met at 2.30 p.m.
[The Temporary Deputy Speaker
(Mr. Imanyara) in the Chair]

Question No.126
TERMINAL DUES FOR KENYAN EMPLOYEES OF
DEFUNCT EAC

Mr. Yakub asked the Deputy Prime Minister and Minister
for Finance:-
(a) what became of the country's entitlement in the defunct East
African Community (EAC) as well as the terminal dues of the Kenyan
employees in the Community;
(b) how much the British Government paid as terminal benefits for
Kenyans working for the defunct Community;

(c) who the recipients are, amount paid and dates of payment to all
former employees of the Corporations of the defunct EAC, among them
the East African Harbours and Cargo Handling Services, the East African
External Communications, the East African General Funds Services, the
East African Customs, the East Africa Railways, the East African
Airways, the East African Harbour and the East African Post and
Telecommunications; and,
(d) what medium is used to communicate to all the former
employees or their beneficiaries about the payment of their terminal dues.

The Assistant Minister, Office of the Deputy Prime Minister and Ministry of
Local Government (Mr. Nguyai): Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, on behalf of the
Deputy Prime Minister and Minister for Finance, I beg to reply.
(a) Kenya's entitlement in the defunct EAC is provided for in the East African
Community Mediation Agreement Act, Cap.4 of the Laws of Kenya. The Act stipulated
how the assets and liabilities of EAC were to be divided between the three countries, and
how the employees of EAC were to be compensated for their service. Kenyan officers
who served under the Community were given two options with regard to their terminal
dues, namely:-
(i) To retire from the EAC on the re-organization or abolition of service and be
paid their benefits immediately; or,
(ii) To join the Kenyan Government and State corporations and be paid their
benefits on retirement at normal retirement age of 55 years.
Officers who opted to retire immediately upon the dissolution of EAC were paid
their retirement benefits on 30th June, 1977.
Those who took the second option continue
to be paid their retirement benefits in full from the date they joined the EAC to the date of
retirement from the Kenyan Government or State corporations. In addition, some
members who had contributed to the East African Provident Fund and the National Social
Security Fund are paid as they leave service based on their contribution records, which
are extracted from the Arusha, EAC Registry for the purpose.
(b) The British Government paid £21,841,427 as terminal benefits for Kenyans
who worked in the defunct EAC.
I assure this House that the money was paid and
continuous to be paid to the deserving former employees of EAC.
The money was paid as per agreed division to the three Governments of Kenya,
Uganda and Tanzania.
The Government of Kenya received 42 per cent of the money,
which is held in a deposit account at the Treasury, entitled the East African Community

Fund. The balance in the Fund as at 31st May, 2009, was Kshs488,931,501.65.
​
Source: <cite>Parliament of The Republic Of Kenya

Kama hiyo haitoshi, soma na hii:

</cite>EAC Pension Funds were partly contributed to by the workers, deducted at source and remitted to the British Crown Agents for management, including prudent investment.

When the Bank of Tanzania (BoT) received the moneys from the Crown Agents in FY-1986/87, the Govt. appropriated them.

Source:
http://www.businesstimes.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1533:too-true-eac-pensions-leave-bad-taste-in-the-mouth-&catid=37:column&Itemid=60

Nini usichokielewa hapo? Huwa sikisii!<cite></cite>
 
Back
Top Bottom