Wazee wa Dar mnaoenda kikao na rais kama mnajiamini Vaeni nguo za CCM

Wazee wa Dar mnaoenda kikao na rais kama mnajiamini Vaeni nguo za CCM

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
3,809
Reaction score
8,970
Kama kweli haya yaliyotokea 29Oktoba hayawahusu basi VAENI NGUO ZA KIJANI zile piteni tu kwa amani kabisa mitaani mkiwa mnatembea kifua mbele!

Kama mnaamini hamkuzika watoto au wajukuu kutokana na kupigwa risasi basi tembeeni kifua mbele! bahatu nzuri kesho ni siku ya Kazi so mji utakuwa nyomi!

Na kwa kuwa mnakutana mchana kweupeee ambapo tutawaona sura zenu badi itakuwa poa sana!

Tunatamani kuona sura halisi za washabiki wa wauwaji ambao hawajawahi kujutia kuua!

Kesho mnaenda kuweka historia tenaa nyie wazee ubwabwa


NB: niwakumbushe tu wakati kikwete alipowaita wazee wa DSM kusungumzia ESCROW wazee waalikomaa afukuze wahusika hadi waliopata mgao
ila nyie wazee njaa naamini hamtamhoji wala kumwambia ukweli Chief Hangaya kuwawajibisha wote WALIOUA MAELFU! na hataa kumlazimisha na yeye apumzike tusonge mbele!

KESHO MTAWEKA HISTORIA nyie wapenda posho za DAMU za ndugu zetu waliotangulia mbele za haki kwa kupinga UTEKAJI, UFIRAJI, UUAJI USIO NA HAYA, UBAMBIKAJI WA KESI! ipo siku tu isiyo na jina hamtaaminj
 
Tuwe wapole mana hata wapumbavu nao wanazeeka
 
Watakuwa ni vi mfuko vya rambo, nguo za kijani watazivalia ukumbini na wakitoka watazivua. Hakuna asiyeogopa kutangulia kufa japo wote tutakufa.
 
Back
Top Bottom