Mpo kimya sana vipi mchakato hebu tutiririke hasa wale ma-Ambassador si unajua kesho ndio maamuzi ,tujadili namna gani tuwachakachue jamaa .Haya leteni mbinu maana tulikuwa wapole sana dakika 15 kabla game kuisha