hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahahahahaa.................. hiii si mchezo eti!!!!!!wazee waichoka ccm arumeru wanabebwa na mafuso wakati viongozi wao wako kwenye ma vx na land cruiser![]()
Kwani hakuna mabasi? Mbona Mkutano Mkuu pale Dodoma tunaona mabasi yamejazana tena yenye AC na mapazia!! Nakumbuka kulikuwa na Shabiby, Scandnavia etc yanabeba watu kutoka Dodoma mjini kwende ukumbini na wakati wa kurudi pia kulikua na minibus kibao acha mbali magari binafsi ya viongozi na wanachama wenye uwezo