Wazee wa CCM hatarini

Sidhan kama watapata presha yoyote kwani angalau arumeru imeanza kutoa funzo, watazoea tu.
 
Tatizo la Magamba ni kutokuamini kama kuna siku watatoka madarakani!! Hawasomi hostory. Mkoloni alifikiri atatawala milele, Kaburu alifikiria hivyo hivyo. Nashindwa kuelewa kwa nini na wao wana mawazo yaleyale ya mwaka 47!!
 

quote_icon.png
By nyabhingi hawa wakipewa pilau nyama kuku na mia mbili ya kahawa na kashata wanaenda diamond na kujiita wazee wa dar!



chant, chant, chant, nyabhingi chant, chant chant.

.
Chant, Nyabhingi

What is Nyahbinghi?


Nyahbinghi is Freedom.

The freedom to live as we choose and be who we are. To have no fear of corruption or oppression. The freedom to unite for the purpose of celebration and communication.


The true freedom to live on and with the earth & in unity with nature and thereby have all needs fulfiled by spirit. Freedom is the ability to choose and make choices based on any available solution. Freedom is the ability to change.

The word Nyahbinghi is an African word. There are many stories about its origins.

Chant, chant, chant, nyabhingi chant, chant chant!

.
 
Tofautisha kati ya Mzee Rais mstaafu Mkapa na Mzee mapombe, mropokaji Mkapa niliyemshuhudia huko Arumeru hawa ni watu wawili tofauti , Mzee wa kwanza namstahi lakini huyu wa pili ni timbwili timbwili la Asha ngedere
 
Mimi baba yangu nilifikiri ni ccm, nimekuja ester nyumbani nimekuta kalenda ya wabunge wa chadema sebuleni mpaka raha. Sijawahi kuongea naye kuhusu CDM ILA MAMA nilishambadisha, this time familia nzima chadema mpaka raha.
 
Tofautisha kati ya Mzee Rais mstaafu Mkapa na Mzee mapombe, mropokaji Mkapa niliyemshuhudia huko Arumeru hawa ni watu wawili tofauti , Mzee wa kwanza namstahi lakini huyu wa pili ni timbwili timbwili la Asha ngedere

Wazee wa CCM wako makundi 2 au 3
1. Makada Waanzilishi, wako kijamaa zaidi na uzalendo.
2. Mafisadi - kina Ben, EL
3. Wale wa vijijini - wengine wanachojua ni chama cha Nyerere
 
ndio maana wengine kama wasira , kingunge wanataka wafie madarakani. kwani wakitoka watatoswa kama wastaafu wa EAC.
 
wazee wenyewe wamempa kura Nassari.

Uzee sio umri bali ni mindset ya mtu; mbona kuna watu wa umri mkubwa kama mzee Mtei na Makani wako Chadema. Hata huko ccm kuna watu wa umri mkubwa wanaoshabikia mapinduzi ya fikra mgando za ccm; lakini sio sampuli ya Kingunge!!
 
Back
Top Bottom